Joan lewis
JF-Expert Member
- Jan 3, 2019
- 993
- 1,463
Mimi ni MISS
My Self Intelligency and secret service.
My Self Intelligency and secret service.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kuna uv ccm mwenye akili? Maana ndio wanatolewa hukoTISS mjinga mjinga namna hiyo?! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1487]
binti hujambo?Mimi ni MISS
My Self Intelligency and secret service.
Ni kutokana na ujinga, ulimbukeni wa WaTz! Tiss au jwtz wana nini cha ziada?Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena.
Asanteni.
[emoji1417][emoji817]Ujinga, illusions, status, ulimbukeni, upumbavu na uchawa
Ndio kusema tiss ni kama kitabu cha simu?!Kuna mjomba wangu mmoja anafanya kazi wizara fulani yaani yule jamaa sijui utake namba ya nani Tanzania asikupe ambayo hana labda za mama samia ukitaka namba ya ofisi ya mtu wowote yule namba personal chap anakupa unawasiliana nae mpaka home tunahisi jamaa ni usalama.
HUNA AKILI KABISA! RAIS AKAE ANASOMA UJINGA UJINGA... WE UMEROGWA NINI 🤣Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi kwa mbali.
ChaiiiiWanakaa kitahadhari sana na mfano kwenye mabasi haya ya masafa marefu hutoka from no where na kusema kila mtu aoneshe kitambulisho
Ilishanitokea once hii incidence
Wewe, Waliokuzaa na Koo zako zote Mbili mngekuwa na 15% tu ya IQ yangu Tukuka GENTAMYCINE mngeringa na kutamba sana ila imekuwa ni Kinyume chake.HUNA AKILI KABISA! RAIS AKAE ANASOMA UJINGA UJINGA... WE UMEROGWA NINI 🤣
LOL! We jamaa unahitaji uangalizi maalum... unaelekea kuwa chizi typically 🤣🤣🤣Wewe, Waliokuzaa na Koo zako zote Mbili mngekuwa na 15% tu ya IQ yangu Tukuka GENTAMYCINE mngeringa na kutamba sana ila imekuwa ni Kinyume chake.
Ni kweli komredi... maana dahh! 🤣🤣🤣🙌🏾Kwani Kuna uv ccm mwenye akili? Maana ndio wanatolewa huko
Umemaliza? Mtafute Herbalist Dr MziziMkavu akutibu tatizo lako Kubwa na Sugu la Akili ulilonalo sawa?LOL! We jamaa unahitaji uangalizi maalum... unaelekea kuwa chizi typically 🤣🤣🤣
Hata unavyoviongea vinaakisi kiwango chako cha hali ya juu cha utaahira!
Atakuwa ni Mwenyewe kwani ukionekana unazurura zurura Kila siku office utaonywa na kuchukuliwa hatua tu je ni KDC?Kilimanjaro
Tiss wengi ni weupe kichwaniKuna siku nilichangia uzi fulani dakika 10 mbele kuna jamaa alinifuata PM akaanza vitisho eti yeye ni Tiss wananifuatilia na blah blah nyingi
Nikamwambia Mkuu kwanza acha ujinga pili nipo verified usihangaike sana, tatu mishe zangu nafanya sehemu fulani na kesho nitakuwa hapo hapo karibuni.
jamaa akaishia kuntukana na sera zake za chama
Kwani hao wa TISS na JWTZ si watu wa KAWAIDA?Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena.
Asanteni.
Tiss wengi ni weupe kichwaniKuna watu huku mitaan ni washamba WA mambo aisee
Kuna mdau alikuwa anahisiwa usalama WA taifa wakati maisha yake ni unga unga tu ila kwa kuwa watu hawamjui anafanya kazi gani
Basi wakajipa mamlaka kuwa jamaa sio mtu WA mchezo mchezo
Basi akini hadithia nabaki kucheka mno
Tunaishi na jamaa ambayo unaweza kusingiziwa chochote.
Mimi ni FBI AGENT Federal Bureau of InvestigationMimi ni MISS
My Self Intelligency and secret service.