Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

Ni kwanini Watu Wengine katika Jamii ni wa Kawaida tu, ila huhisiwa kuwa ni kutoka TISS au JWTZ?

Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ni Kusoma tu Comments zenu mkiwa ni Wataalam, Wabobezi na Mangwena.

Asanteni.
Ni kutokana na ujinga, ulimbukeni wa WaTz! Tiss au jwtz wana nini cha ziada?
 
Kuna mjomba wangu mmoja anafanya kazi wizara fulani yaani yule jamaa sijui utake namba ya nani Tanzania asikupe ambayo hana labda za mama samia ukitaka namba ya ofisi ya mtu wowote yule namba personal chap anakupa unawasiliana nae mpaka home tunahisi jamaa ni usalama.
Ndio kusema tiss ni kama kitabu cha simu?!
 
Kuna siku nilichangia uzi fulani dakika 10 mbele kuna jamaa alinifuata PM akaanza vitisho eti yeye ni Tiss wananifuatilia na blah blah nyingi

Nikamwambia Mkuu kwanza acha ujinga pili nipo verified usihangaike sana, tatu mishe zangu nafanya sehemu fulani na kesho nitakuwa hapo hapo karibuni.

jamaa akaishia kuntukana na sera zake za chama
 
Kuna watu huku mitaan ni washamba WA mambo aisee

Kuna mdau alikuwa anahisiwa usalama WA taifa wakati maisha yake ni unga unga tu ila kwa kuwa watu hawamjui anafanya kazi gani

Basi wakajipa mamlaka kuwa jamaa sio mtu WA mchezo mchezo

Basi akini hadithia nabaki kucheka mno

Tunaishi na jamaa ambayo unaweza kusingiziwa chochote.
 
Wewe, Waliokuzaa na Koo zako zote Mbili mngekuwa na 15% tu ya IQ yangu Tukuka GENTAMYCINE mngeringa na kutamba sana ila imekuwa ni Kinyume chake.
LOL! We jamaa unahitaji uangalizi maalum... unaelekea kuwa chizi typically 🤣🤣🤣

Hata unavyoviongea vinaakisi kiwango chako cha hali ya juu cha utaahira!
 
Mimi nilicheza mgambo mwaka 1994-1995, na tulisimamia uchaguzi mkuu wa 1995 kwa siku tatu tulilipwa tsh.1500 kwahiyo mimi ni askari wa ziada kama alivotuiita afande malwa, hivo najitambulisha kama mwanamgambo na shughuli za kusimamia mitihani na uchaguzi hua nafanya sana
 
Kuna siku nilichangia uzi fulani dakika 10 mbele kuna jamaa alinifuata PM akaanza vitisho eti yeye ni Tiss wananifuatilia na blah blah nyingi

Nikamwambia Mkuu kwanza acha ujinga pili nipo verified usihangaike sana, tatu mishe zangu nafanya sehemu fulani na kesho nitakuwa hapo hapo karibuni.

jamaa akaishia kuntukana na sera zake za chama
Tiss wengi ni weupe kichwani

Wanabebwa na wale wa makao makuu. Wale ndio wataalam tuuu ila hizi ngazi nyingine ni weupe mno ndio maana maeneo mengi utasikia amekuja kutoka makao

TISS unaripoti kwa DSO.
DSO anaripoti kwa Jokate, Nikki wa Pili, Mchopanga, Dogo Janja Nasaari, Halima Bulembo.
Ujinga tu
 
Kuna watu huku mitaan ni washamba WA mambo aisee

Kuna mdau alikuwa anahisiwa usalama WA taifa wakati maisha yake ni unga unga tu ila kwa kuwa watu hawamjui anafanya kazi gani

Basi wakajipa mamlaka kuwa jamaa sio mtu WA mchezo mchezo

Basi akini hadithia nabaki kucheka mno

Tunaishi na jamaa ambayo unaweza kusingiziwa chochote.
Tiss wengi ni weupe kichwani

Wanabebwa na wale wa makao makuu. Wale ndio wataalam tuuu ila hizi ngazi nyingine ni weupe mno ndio maana maeneo mengi utasikia amekuja kutoka makao

TISS unaripoti kwa DSO.
DSO anaripoti kwa Jokate, Nikki wa Pili, Mchopanga, Dogo Janja Nasaari, Halima Bulembo.
Ujinga tu

Mtaa gani huo
 
Mimi ni MISS

My Self Intelligency and secret service.
Mimi ni FBI AGENT Federal Bureau of Investigation

Federal Bureau of Investigation.jpg
 
Back
Top Bottom