Kule wodi maalumu mkewangu nimemlaza juzi ilikuwa 60000.Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
Nakubalina na Wewe kabisa 100%Viongozi wanafanya mambo ya hovyo.
Serikali haishindwi kufanya gharama za matibabu ziwe sawa na bure lakini viongozi hawajali kabisa.
From experience zile private ward nikama 85k per day kiasi kwamba ukikaa kwa siku let's say 14Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
Ni sahihi kwa muhimbili kuweka bei hiyo, sababu ya kupata uwezo wa kujiendesha, ila serikali ilipaswa ibebe hizo gharama kwa asilimia kubwa sana, ifike hatua mtanzania alipe kidogo sana ama asilipe kabisa, haileti maana viongozi wanafanya ubadhirifu, wanatembelea magari ya kifahari, viongozi na wenza wao wanalipwa.. Halafu mtanzania akalipie kitanda 50k kwa siku hapo muhimbili.Kuna daktari la JF anakuuliza muhimbili unataka ulipe bei gani?
Na hii inawezekana, kama tu viongozi wetu wataacha ubinafsi na uroho, wakabeba machungu ya mtanzania, wakaamua kuwa msaada kwa watanzania, kuwa daraja la tanzania yenye maendeleo makubwa.Nakubalina na Wewe kabisa 100%
Kama tukibadilisha Sera na Wizara ya afya ipokee Ruzuku na Hospitali Zisijiendeshe zipokee Pesa Moja kwa Moja kama vipokeavyo Vyuo na Mashule Tunaweza Kumudu Gharama
Nikusahihishe Private Ward ni 100k Per day..From experience zile private ward nikama 85k per day kiasi kwamba ukikaa kwa siku let's say 14
Halafu kwenye hiyo let's say 50k hupewi chochote hakunaa CHAKULA Wala free water..
Wanazidiwa na hospital Kama massa a, kairuki, kitengure e.t.c inashangaza na kusikitisha Sana Kama taifa.
Yeah kabisa..Na hii inawezekana, kama tu viongozi wetu wataacha ubinafsi na uroho, wakabeba machungu ya mtanzania, wakaamua kuwa msaada kwa watanzania, kuwa daraja la tanzania yenye maendeleo makubwa.
Katika hili viongozi ni wa kulamiwa, hawawezi kukwepa hizi lawama, tuna viongozi waroho na wabinafsi mnoooYeah kabisa..
Kwa sababu walianza kujitoa Miaka ya 2010 hibi huduma wakaanza kuziita Kuchangia Huduma ya matibabu wananchi mkafurahia kusikia Hivyo walipoona Kumbe Wananchi wanaweza kutoa Pesa ya Matibabu..
Serkali ikajitoa Mazima kusimamia Hospitali kifedha Kwa hospitali zijitegemee kwa 95%..
Sasa unajiuliza Hospitali zitatoa wapi Hayo mapato..
Sera Zikatungwa na Ndiyo unaona Hizo pesa Zinazolalamikiwa Ingekuwa Kama serkali inawajibika Ipasavyo wananchi wasingetozwa hizo pesa
Hapa umetukana mkuu ukisoma data zilizopo maktaba za taifa.Gentleman,
zidisha juhudi katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe.
ukiwa na kipato cha uhakika na ukiwa na bima ya Afya huwezi kua na mashaka na matibabu na wala huwezi kupotoshwa na kutishwa na yeyote. epuka uvivu.
Muhimbili kila idara imejaa wagonjwa wakitafuta tiba, kuna wakati ilifikia hadi wanalala sakafuni kwa wingi wao.
hiyo inamaanisha waTanzania wana uwezo wa gharama za muhimbili.
sasa hiyo asilimia 90 unaojaribu kupotoshwa eti hawawezi kumudu, inaweza kua ni wewe na huyo mpotoshaji pekee ambao ndiyo hamumudu hizo, ila mnamudu kula bata mpka asubuh kwetu Pazuri na kwingineko, na huku mkimiliki iPhone ya milioni 4, isiyo na vocha wiki nzima 🐒
True Kabisa nakuunga MkonoKatika hili viongozi ni wa kulamiwa, hawawezi kukwepa hizi lawama, tuna viongozi waroho na wabinafsi mnooo
Gentleman,Hapa umetukana mkuu ukisoma data zilizopo maktaba za taifa.
Asilimia 90% wanaishi vijijini shughuri kuu ni kilimo Cha jembe la mkono vile vile pia average of living kwa watanzania still ipo low compared na developed countries.
Pia majority ya watanzania wanaishi below 1 US Dollar Tena majority hatuna hata BIMA za afya.
Case study huyu msanii kijana kafariki namsikia STEVE NYERERE ANALALAMIKA wasanii hawana bima za afya
Binafsi siungi mkono hizo gharama za 50k nibora zishushwe Zaid maana tuna rasilimali nyingi Sana ambazo tukizifanyia utilization effectively tunaweza kupunguza hizo gharama zikawa nafuu na affordable kwa majority yetu.
Think twice.
Mwezi wa pili nilipo kua nimevunjika mguu nilikua private ward kwa wiki moja na siku mbili nililipa 85k per day labda nilifanyiwa discountNikusahihishe Private Ward ni 100k Per day..
Kuna utaratibu kaka huwezi tu kukulupuka kuja muhimbili wakati mtaani kuna zahanati pia anzia ngazi ya chini fikiria sasaiv watu muhimbili wanafika wagonjwa karibja 1000 wanaotibiwa imagen kama mtu anaumwa kichwa anakuja muhimbili wahudumu si watakuwa vichaaa? Huoni kuwa mrundikano wa wagonjwa utakuwa mkubwa na pia kusambaa kwa magonjwa ya kuambukiza yanaweza ongezekaKwanini gharama ziwe juu kwani huyo anakuwa sio mtanzania hakuna shule uliyonipa zaidi hizo ni hadaa tu za serikali.....mtu kazidiwa ghafla uanze kusbiri rufaa anadhani uhai ni sabani utaenda dukani kwa mangi ununue kama ikiisha.
Tuna serikali isiyojali maisha ya raia wake.Habari zenu wakuu.
Hizi taarifa za kwamba gharama za kitanda hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ni tsh 50,000 ni za kweli au story za vijiweni, kama hizi gharama ni za kweli basi kama taifa hatupo salama na nimeamini Tanzania ndio jehanamu yenyewe,mtu ajapona lakini anaona bora akajiuguze nyumbani mwenyewe kwenye chumba chake cha efu arobaini kwa mwenzi.
Hizi gharama asilimia 90 ya watanzania hatuzimudu,na watakao zimudu hawatoboi mienzi hata miwili.
Hata enzi za wakoloni walikuwepo Watanganyika kama wewe ambao walitetea kila kitu cha mkoloni. Na waliwasnitch wwpambania uhuruKuna utaratibu kaka huwezi tu kukulupuka kuja muhimbili wakati mtaani kuna zahanati pia anzia ngazi ya chini fikiria sasaiv watu muhimbili wanafika wagonjwa karibja 1000 wanaotibiwa imagen kama mtu anaumwa kichwa anakuja muhimbili wahudumu si watakuwa vichaaa? Huoni kuwa mrundikano wa wagonjwa utakuwa mkubwa na pia kusambaa kwa magonjwa ya kuambukiza yanaweza ongezeka
Shida watznapenda shortcut sanaHata enzi za wakoloni walikuwepo Watanganyika kama wewe ambao walitetea kila kitu cha mkoloni. Na waliwasnitch wwpambania uhuru
Mkuu,Gentleman,
nadhani ni kwasababu huenda mtoa hoja na pengine wengine hawajaugua au kuuguza ama kutembelea muhimbili na kuona idadi ya wagonjwa waliopo, ukilinganisha na hospitali zingine.
Unafuu na upatikanaji wa huduma muhimu za binadamu ambazo kila mTanzania anaweza kumudu gharama.
Mbona hawaendi kwenye mahospitali yenye unafuu kuliko muhimbili? Na hayo mahospitali nafuu zaidi ya muhimbili watu waende huko?
Bima ya afya ni muhimu sana kwa kila member wa familia 🐒