Ni kweli Rais Samia alikuwa mapumzikoni Dubai?

Ni kawaida kwa watu Mashariki ya Kati kwenda Paris weekend kucheza disco na kurudi kazini Jumatatu.
 

 
Kwani Samia hana HOME SHOPPING CENTRE wake? Kama Kikwete alikuwa nao kwanini yeye asiwe nao? Marehemu Kawawa alishasema " KILA MTU NA MHINDI WAKE"!
Samia hana huo upuuzi! Ni mweupeee hana hata tone la mauchafu yenu! Na kwenye utawala wake hatazalisha wakuu wa mikoa/wilaya matajiri kama akina Makonda, Sabaya, Mnyeti!! Wezi now wanashughulikiwa kwa jicho la Umma, no kufichaficha or kumtimua na kumdhihaki CAG
 
HIYO NDIYO TAFSIRI SAHIHI YA KUWA NA RAIS WA OVYO,kuna jirani yangu anashindia maji ya kunywa siku ya tatu Leo ila huyu rahisi wa mchongo anaruka angani kama mbayuwayu kutokana na kodi za mafukara huku akiyaacha MAJIZI yakiiba mabilioni ya pesa
 
WACHENI RAIS WETU APUMUE BANA MNATAKA AZUBAE TU NDANI YA NCHI SASA EXPOSURE ATAIPATAJE, YULE JAMAA ALIZUBALIA TU HUMU HUMU MKOA KWA MKOA MPAKA WAKULIMA WA KOROSHO WAKATOA MACHOZI. 😁😁😁
 
Comments nyingi ni za mawazo ya Kimasikini!

Sijawahi kuona Rais Commited kama tuliyenaye sasa!

Kuna mataifa sasa hivi yanawaza kusimamisha Rais Mwanamke.

Rais Samia namlinganisha na Chancellor Angela Mikhel wa Ujerumani.

Katika watu wasiopenda Mapesa ya Dhambi ni Huyu Mama!

Hivi kupumzika ni Dhambi!

Kuna wakati Mwanadamu anahitaji MUDA WAKE PEKE YAKE KWA AJILI YA RE TREAT...

KANISA KATOLIKI LINA ENDESHA RETREAT...NA UNAPATA WATU WAPYA Muda tu baada ya kumaliza retreat.

Mawazo mengine Bhana du!!!
 
HIYO NDIYO TAFSIRI SAHIHI YA KUWA NA RAIS WA OVYO,kuna jirani yangu anashindia maji ya kunywa siku ya tatu Leo ila huyu rahisi wa mchongo anaruka angani kama mbayuwayu kutokana na kodi za mafukara huku akiyaacha MAJIZI yakiiba mabilioni ya pesa
Huyo rafiki yako mwambie afanye kazi, Rais au serekali haitaweza kumpekekea chakula kwake.(KAZI NDIO UTU, KAZI NDIO UHAI)
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…