Ni lini Serikali ya CCM itanunua laptop kwa kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

Ni lini Serikali ya CCM itanunua laptop kwa kila mwanafunzi kuanzia shule za kata?

Madawati tu yamewashinda, laptop itakua ndoto
Tuikatae Hali hii Kwa nguvu,

Waliopo viongozi wataturudisha utumwani.

St Kayumba Inatakiwa itoe waziri, Si Feza boys international.

Maandamano ya CDM, Mdude, Slaa, Mwabukusi ni November tu hapo,

Tuwaunge mkono.
 
Nani atasimamia maadili ya hizo laptop ili zisijazwe pono,game, Simba na yanga, diamond na zuchu
 
Mimi sitaki mwanangu amalize st kayumba akakopeshwa bodaboda.

Nataka ELIMU ya Shule za kata nchini zitoe Elimu Bora kuliko Elimu inayotolewa Feza international.

Enzi za Nyerere ilikuwa hivyo.

Ikiwa viongozi waliopo hawalioni Hilo,

Wanaruhusu Kenya wameiga alichofanya Nyerere ,shule zao sasa za umma zinatoa Elimu Bora kuliko binafsi.

Nataka mwanangu aje awe waziri akitokea Saint Kayumba!!
Hilo linawezekana kabisa,
Mimi mwenyewe kabla sijawa waziri nimesoma shule ya kata tena iliyozinduliwa na hayati Benjamin W.Mkapa tar.13.7. mwaka wake wa kwanza muhula wa pili.
So July 13 adi Dec.tayari nilikua nimemaliza formu1 na January mwaka ulofata nikaingia form2.

Na nilipiga div.2 O-level japo niliumia sana kwasababu nilihisi niliderseve dv 1. Form six ndio nikapiga div.1 ya 6 nikajiunga chuo kikuu na sasa hivi ni waziri.

Kwahiyo ndoto ya kijana wako unaweza ukaichochea na ikatimia bila wasi.

Habari ya kumtoa mtoto bagamoyo anakwenda kufeli Mwanza achana nayo.
Shule za kata zilizo nyingi ni nzuri na zinafaulisha vizuri na viongozi wengi nchini tumetoka huko.

Jiamini, chukua hatua....
Twende na CCM twendeni na Mama Samia Suluhu Hassan Urais 2025 atatuvusha Salama.
 
Achana na propaganda za mtu mrefu uliona hao wanafunzi wote wamepewa laptop
Stuka usingizini.

Mfumo huu goigoi uliopo,

Utaondoka once and for all.

Mmeshindwa Kutoa kikombe tu Cha uji mashuleni Nchi nzima shule za kata,

Lini mtatufikisha katika Nchi ya AHADI?
 
Elimu inayotolewa ya ushindani katika soko la ajira kimataifa na ndani zipo shule binafsi tu, shule za serikali changamoto ni nyingi ukianzia walimu, mazingira ya kazi, wanafunzi vitendea kazi, na stahiki za walimu kwa kifupi shule hizi zimesahaulika
 
Hilo linawezekana kabisa,
Mimi mwenyewe kabla sijawa waziri nimesoma shule ya kata tena iliyozinduliwa na hayati Benjamin W.Mkapa tar.13.7. mwaka wake wa kwanza muhula wa pili.
So July 13 adi Dec.tayari nilikua nimemaliza formu1 na January mwaka ulofata nikaingia form2.

Na nilipiga div.2 O-level japo niliumia sana kwasababu nilihisi niliderseve dv 1. Form six ndio nikapiga div.1 ya 6 nikajiunga chuo kikuu na sasa hivi ni waziri.

Kwahiyo ndoto ya kijana wako unaweza ukaichochea na ikatimia bila wasi.

Habari ya kumtoa mtoto bagamoyo anakwenda kufeli Mwanza achana nayo.
Shule za kata zilizo nyingi ni nzuri na zinafaulisha vizuri na viongozi wengi nchini tumetoka huko.

Jiamini, chukua hatua....
Twende na CCM twendeni na Mama Samia Suluhu Hassan Urais 2025 atatuvusha Salama.
Wewe ni Waziri wa wizara ipi?

Mtoto wako anasoma shule ya kata?

Anabeba ufagio akiwa anaenda shuleni?
 
Mimi wazo langu warudishe ada ila iwe nafuu ya kila mtu aweze kumudu ili sasa serikali waendelee kuwekeza katika elimu ya uhakika na kufanikisha hie ndoto ya development vision 2025

Elimu bure bado kwa kweli
 
Elimu inayotolewa ya ushindani katika soko la ajira kimataifa na ndani zipo shule binafsi tu, shule za serikali changamoto ni nyingi ukianzia walimu, mazingira ya kazi, wanafunzi vitendea kazi, na stahiki za walimu kwa kifupi shule hizi zimesahaulika
Ndo nasema, uongozi ni vitendo Si maneno.

Ndugu tlaatlaa anadai Yeye ni Waziri aliyetokea shule za kata.

Ni vizuri tukawalazimisha wabunge kutunga SHERIA, viongozi wote wa umma wapeleke watoto wao shule za kata.
 
Hili jambo linaleta ukakasi sana !! Wanafunzi wanasoma kwa mtindo wa kizamani ambao haundani na kasi ya mabadiliko na ukuaji wa teknolojia.
 
Waanze na walimu
In short mfumo wote wa Elimu uwe overhauled.

Inaniuma Kenya wameiga alivyofanya Nyerere, saiz shule zao za umma zinatoa Elimu Bora kuliko za private.
 
Wewe ni Waziri wa wizara ipi?

Mtoto wako anasoma shule ya kata?

Anabeba ufagio akiwa anaenda shuleni?
sio ufagio tu,
akiagizwa jembe, kuni, maji ya kumwagilia maua na miti ya shule, majani kwajili ya kujengea vyoo vya walimu na kuezekea majiko ya walimu,
mwanangu anakwenda kuyasaka porini na anakwendra nayo shule kama wanafunzi wengine.
Hajaendraa nayo anaadhibiwa vizur tu...
 
Back
Top Bottom