Ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?

Sijawahi kuexperience ila inasemekana kuwa Kidney Stones ( Mawe Mawe katika figo) ndio kitu kilicho kuwa na maumivu makubwa Kuliko yote katika Mwili wa Mwanadamu.
 
Sijawahi kuexperience ila inasemekana kuwa Kidney Stones ( Mawe Mawe katika figo) ndio kitu kilicho kuwa na maumivu makubwa Kuliko yote katika Mwili wa Mwanadamu.
Kwahiyo mkuu hujawahi umwa chochote mwilini mwako
 
Jino,sikio.Nakumbuka kunakipindi nilikua nyumbani uzazi WA mtoto wangu wa pili.Jioni nimekaa dining nakunywa mtori Ile nimetafuna nyama nikajisahau nikatafunia Jino lililokua linauma.Maumivu yake nilijikuta nimeenda sebleni kukunja nguo zilizokua zimeanuliwa (hamna alieniambia).Mama akanikuta "vipi ushamaliza Kula"Mimi Niko mhmh nasubiri upoe.
 
Kuna mtu alinipanga humu jf inaongeza nguvu zaidi ya mamba kwenye kufanya ududu
Humu unatakiwa kukaa kitaalamu. Humu nilishaona threads za ovyo sana mfn. Ukitakaa kurefusha uume pakaa pilipili na aloevera.
Nyingine ukitaka demu asikuache mnyonye mkundu (Hii nilijaribu cha ajabu yule malaya aliniachaga aise).
 
Hiyo ya mfupa nilishuhudia pale keko mwez wa 11 jamaa aliruka vibaya katika kushuka na daladala mguu wa kulia wote ulisagika pale pale
Tuwe makini sana tunaposhuka aisee, kuna watu huiga kuruka kama wafanyavyo wapiga debe na makonda. Chuma inatembea yeye anataka kuruka, bahati mbaya hawajui mguu wa kutanguliza, mwingine anasharuka tu ka anarukia shimoni.
Bora usubiri gari isimame ushuke tu kama huwezi kuruka.
 
mapenzi . yana wa drive wengi crazy tena sana bora hayo maumivu mengine yataisha ila ukiangalia wengi humu jamii forum wana maumivu na ukishindwa kipengele cha forgive and forget utapata tabu sana
 
Kuna lile chango wanapita linaumaga hata usipokuwa Mp Yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nilikuwa natambaa tu πŸ˜‚πŸ˜‚ na kulala nimebinua Tako juuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ majirani walicheka badae nilivopona
"Na kulala nimebinua tako juu"πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tumbo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…