Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Naona masuala ya kifua sijui, upumuaji...kama sijakoseaHv zinadungwa kutibu ugonjwa gani maana maana sikumbuki mother kwa nini alinipeleka nikadungwa yale masindano ya yanga 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona masuala ya kifua sijui, upumuaji...kama sijakoseaHv zinadungwa kutibu ugonjwa gani maana maana sikumbuki mother kwa nini alinipeleka nikadungwa yale masindano ya yanga 🤣🤣
Mifupa Tena,hii ngumu kumesaKuachwa.hapa naona kama moyo uko mgongoni.hadi mifupa ya k inauma
Humu unatakiwa kukaa kitaalamu. Humu nilishaona threads za ovyo sana mfn. Ukitakaa kurefusha uume pakaa pilipili na aloevera.Kuna mtu alinipanga humu jf inaongeza nguvu zaidi ya mamba kwenye kufanya ududu
Hahahahahaha uko sahihi😎😂 mkuu pumbu itengwe kwenye hii mada
mambo ya migodini hayo mkuu,....Alipasuliwa pumbu kwa sababu gani mkuu🙌🙌
Tuwe makini sana tunaposhuka aisee, kuna watu huiga kuruka kama wafanyavyo wapiga debe na makonda. Chuma inatembea yeye anataka kuruka, bahati mbaya hawajui mguu wa kutanguliza, mwingine anasharuka tu ka anarukia shimoni.Hiyo ya mfupa nilishuhudia pale keko mwez wa 11 jamaa aliruka vibaya katika kushuka na daladala mguu wa kulia wote ulisagika pale pale
"Na kulala nimebinua tako juu"😅😅😅😅Kuna lile chango wanapita linaumaga hata usipokuwa Mp Yani 😂😂😂nilikuwa natambaa tu 😂😂 na kulala nimebinua Tako juu😂😂😂 majirani walicheka badae nilivopona
Kama umemeza kisu sasa kinakuja😁😁😁Nakubaliana na maumivu yote ya hapo juu; bila kusahau maumivu ya mheshimiwa Constipation.
Tumbo aiseeWakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa aisee maumivu niliyoyapata sitakuja kusahau.Niliona Israel huyu hapa kaja kunisalimia.Tumbo linauma asikuambie mtu.
Je ni ni maumivu gani makali zaidi ya mwili?
Jamani jamani; usiombe upatweKama umemeza kisu sasa kinakuja😁😁😁
Nimekufollow kabisa wewe umelijua hili kiufasaha kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣Jamani jamani; usiombe upatwe
Wewe constipation imewahi kunidhalilisha mimi kwa watu, sina hamu. Yaani nilihisi kuwehukaNimekufollow kabisa wewe umelijua hili kiufasaha kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣