Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
Ninyi ndio weupe kabisa kujua mchango wa JWTZ, kwa mama kuwa pale.Narudia kukuambia hiyo siyo line ya CDF. Ungesema Boss wa Tiss ungeeleweka. Tatizo wengi wenu ni Weupe sana kuhusu Majukumu ya hivi vyombo. CDF aliposema ana dokezo basi kila linalotokea mnasema ndio hilo. Ipo siku mtasema IGP kamshauri Rais KUBORESHA SEKTA YA KILIMO cha Korosho
We mjinga kabisa na huna hata akili.
Asingekuwa Mabeyo na JWTZ saa hizi usha chanwa utumbo.
Huna lolote.ACHA STORY ZA VIJIWE VYA KAHAWA
Watu tuna habari za ndani kabisa
Mzee wa travotaSi alisema ni mtu wa makamo? Atakuwa Suphian Juma
Ana Dementia ameanza kuonyesha dalili.Mwinyi senior
Umepatia kidogoooooooooo ila jibu unalifahamu unazunguka zunguka.Anaweza kuwa ni Abdulrahman Kinana.
Warioba hajWahi kuwa mjinga hivyo!Atakuwa Mzee Wariob
ni kisa cha kutunga...Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Kama una ushahidi tuwekee hapa maana wote hapa tuna guess tu.Umepatia kidogoooooooooo ila jibu unalifahamu unazunguka zunguka.
Yule aliyemwambia mama nitakufuata ofisiniJana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Hapana uniform ya mabakaAnaweza kuwa ni Abdulrahman Kinana.
Ahaa!! nimeelewa afande.Hapana uniform ya mabaka
Bwashee una uhakika siyo mzee shirima yule wa moshi?Mzee Mgaya!
You have the guts, sure am telling you!Mkuu hizo guts sina kabisa, naanzaje na kama nani ? 😒
Wote zungukeni ila ni Mzee Mwinyi 100%Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Jana Rais Samia aliweka wazi kuwa baada ya kuapishwa tu, kuna mtu alienda kumpa tahadhari kuwa awe makini na CCM wenzake kuliko wapinzani kwani ndio wanaweza wakamuharibia kazi yake!
Rais Samia hakumtaja jina mtu huyo. Ila kwakuwa JF ni jukwaa pana na zito, je tunaweza tukamjua mtu huyo ni nani? Karibuni kwa mjadala
Kazi ya wapiga ramli!mzee wa msoga