stupid mind! nani aliondoa CCTV camera, nani aliondoa walinzi? nani alimfukuza ubunge, nani alikataa kumlipia matibabu. Stupid mind! Chawa mbwa, kupe shetani
Hata jitihada hafifu tu ya kujiondoa kwenye uhusika na tendo hilo ilikuwa ngumu sana kwa Magufuli kuifanya.
Hiyo ndiyo roho mbaya ya ajabu sana aliyokuwa nayo mtu huyo.

Ni vigumu sana kwamtu mmoja kuwa na pande mbili zilizoonyesha kupingana katika mtu huyo huyo mmoja.
Upande mmoja kuwa mtetezi wa wanyonge, kwa huruma kubwa; na upande mwingine kuwa mtu mwenye visasi na chuki kwa wale wanaokosoa matendo yake, hata juu ya vitu vya kipuuzi kama kuhojiwa tu kwa Ph.D.? Unaamua kumpoteza kijana moja kwa moja?
Si akheri hata angemweka jela tu hadi amalize mhula wake wa uongozi?

Magufuli alikuwa na upande mzuri, lakini ubaya wake hauwezi kufutika.
 
Ukiandika hivyo tu basi wote tuamini na kuanza kulia kwa kwikwi?Ongezea ukweli zaidi uaminike.
 
Maneno ya mkoswaji haya.
 
Si kweli, Nduli ndiye aliyetoa order ya kuuwawa Tundu Lissu
 
Wangedhamiria mara ngapi?Ya Mungu siyo ya binadamu.
 
Acha kupindisha kona hapa nimekukamata.
Kwamba Mwendakuzimu hakuwa Muuaji ?
Na sio yeye aliyefanya Jaribio la Kihuni lilipo fail, kutaka Kumuua Lissu?
Sio huyu Mwendakuzimu alikataza wabunge wa CCM kwenda Nairobi Kumjulia Hali Lissu ?
Sio Serikali ya Mwendakuzimu ilikataa kutoa stahiki Kwa Lissu za Matibabu ?
Sio Serikali ya Mwendakuzimu iliyokataa kufanya uchunguzi wa tukio la Kihuni na la Kioga la kutaka Kumuua Lissu ?
 
Sio yeye. Ushahidi unao!?
hv unajua wazushi kama ww ndio wataanza kuchomwa moto kabla ya wadhambi wote
 
Na ikamfuta Ubunge kwa kisingizio kuwa haijui Tundu Lissu aliko,swine kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…