Hata jitihada hafifu tu ya kujiondoa kwenye uhusika na tendo hilo ilikuwa ngumu sana kwa Magufuli kuifanya.stupid mind! nani aliondoa CCTV camera, nani aliondoa walinzi? nani alimfukuza ubunge, nani alikataa kumlipia matibabu. Stupid mind! Chawa mbwa, kupe shetani
Hiyo ndiyo roho mbaya ya ajabu sana aliyokuwa nayo mtu huyo.
Ni vigumu sana kwamtu mmoja kuwa na pande mbili zilizoonyesha kupingana katika mtu huyo huyo mmoja.
Upande mmoja kuwa mtetezi wa wanyonge, kwa huruma kubwa; na upande mwingine kuwa mtu mwenye visasi na chuki kwa wale wanaokosoa matendo yake, hata juu ya vitu vya kipuuzi kama kuhojiwa tu kwa Ph.D.? Unaamua kumpoteza kijana moja kwa moja?
Si akheri hata angemweka jela tu hadi amalize mhula wake wa uongozi?
Magufuli alikuwa na upande mzuri, lakini ubaya wake hauwezi kufutika.