Acheni unafiki nyinyi...watu wote tunajua kinachoendelea...mtu mwenye roho mbaya kuliko wote hii nchi mbona anajulikana...dikteta lililojifunika mamwamvuli wa uzalendo kuficha uhalifu wake nani asiyelijua..
 
ngonjera nyingi kifupi aliyetaka kumuua lisu in jpm
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Hili suala la maadui ndani ya CDM nililifikiria mwanzoni halafu nikaona haliwezikani lakini huwezi kujua bwana. Nilifikiria scenarios 3:

1. Kuna uchaguzi wa mwenyekiti wa CDM unaokuja na Lissu ni strong candidate.

2. Kuna kuteua atakaegombea uraisi 2020 na wanachama wa CDM pengine wangependelea Lissu asimame.

3. Kuna haja ya kukipa chama mvuto katika uchaguzi wa uraisi ifikapo 2020. Hisia ya kuwa CCM imemuua Lissu itatoa kiki kubwa kwa CDM. Hapa Lissu anatolewa kafara ili kushinda uchaguzi. Pia hii inatatua tatizo la scenario 1 na 2.

Kama hizi scenarios 3 zipo basi kuna uwezekano wa Lissu kuwa na maadui ndani ya chama chake.

Nilizifikiria sana hizi lakini hisia zangu zikaniambia kuwa CDM hawawezi kufanya unyama kama huo. Ndio maana sikuzijumuisha katika dhana zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulinzi lazima apate. Na sio Lissu pekeyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeacha
1. urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA 2020
2. Personal -yeye kama yeye hana makando kando na watu
 
Umechambua lkn najua unaitetea serikali kisomi.
Anyway serikali ikamate hao wahalifu fullstop

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia serikali hii inakubaliwa na watanzania wengi..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante.

Mimi naiunga mkono serikali lakini hapa sikuitetea. Nimejaribu kutoa maoni yangu kwa nini ingekuwa ni ujinga kwa serikali kumuua Lissu. Wangewapa ushindi wa kirahisi CDM ifikapo 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio unasema ni ujinga je unafikiri wao wanaamini kuwa ni ujinga? Umesahau tukio la Mwangosi umesahau tukio la Morogoro vyombo vya serikali vilihusika Moja kwa Moja.Sembuse hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaemuandama lisu na baseless accusations ndio anaetaka kumuua

Anaemuweka police name kupinga shaman a ndio anaetaka kumuua
 
Jiulize kuhusu Ben sanane
Jiulize kwann aliachwa kama mstari wa mbele peke yake
Na tundu lissu hvyohvyo
Jiulize kwann wamemlenga miguuni sanasana na naskia lisasi moja2 ndo imemlenga tumbon
Anza kufikiria kuhusu mbinu za uchonganish

My take;
Walioagizwa kumlenga Muheshimiwa hawakuwa na nia ya kumuua bali kutengeneza nadhalia ya biffu kat ya pande mbili zinazoonekana kutengana kimawazo

Ikiwa kuna familia A na B wasioelewana, ikiwa chochote kitakachotokea katika familia A lazima upande wa familia B utafikiliwa vibaya
 
Haupo sawa mkuu. Risasi haina macho hivyo hakuna anayeweza kusema hapa itamuua na hapa haitamuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…