Mtu hahitaji kusoma uzi wako mpaka mwisho ili ajue wewe ni wavipi? Lisu kashambuliwa na walewale walioshambulia ulimboka Dr. Huyo raisi na serikali unayosema inakubalika inakubalika lumumba? Ruhusuni mikutano ya vyama uone vumbi lake! Muwazuie watu kaongea af mseme imnakubalika?
 

One track minded. Hata akingejikwa mtasingizia chama tawala! hoja finyu haina mashiko hiyo!
 
Huyu mtoa mada ametoa uwanja watu wajadili, lakini kila baada ya post mbili anarejea kujibu au kuelekeza. Kaa utulie watu wajadili. Rejea post ya 200. Vinginevyo una motive tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Those who speak do not know, and those who know do not speak....sometimes the enemy is amongst us and not far...

Tunamuombea awe katika mikono salama ya madaktari na kuweza kupona.
 
Kumbe ndio ulikuwa unaelekea huko ,,tuache tumuombe mpendwa wetu apone hakuna marefu yasio kuwa na ncha
 
Ukiyatafakari ya marehem chachawangwe
Na hili la mheshimiwa lisu jibu la nani linakua gumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa takriban miezi 2 hivi wakuu wote, ikiwa ni pamoja na wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema walikuwa kimya kiasi kwamba Chama kilionekana kuendeshwa kwa ku-swing sawa na matamko continuous yaliyokuwa yakitolewa na Tundu Lissu. Hili nalo ni eneo la kufanyia intel analysis.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana dhahili ww unajua na ni mpotoshaji katika vidole vyangu vya mkono wa kushoto nakuchagulia kidole cha kat na nikirefu kuliko vyote.kitakupa jibu ya maswali yk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 × 1 = is....... Kutaka Urais na wazeee waliotoa bil 5. Sio mchezo. Ofisi za mhariri wa wanahalisi kuchomwa MTO ni nani? Tusijitie ufahamu bureee. Ni 1 × 1 = ni ....,...
..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are very hungry and angry,
The right to demand. freedom to speak!
We used our mouth and pen,the truth to speak

They used guns and bullets, to kill the truth!
Always pushing the trigger, the bullet to speak...

The message they sent,the bullet will tell
That we need more guns and bullets,the truth to speak.

For them democracy is a gun,patriotism is the bullet
Killing and violence is the peace they want!

THE BULLET WILL TELL


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 × 1 = is....... Kutaka Urais na wazeee waliotoa bil 5. Sio mchezo. Ofisi za mhariri wa wanahalisi kuchomwa MTO ni nani? Tusijitie ufahamu bureee. Ni 1 × 1 = ni ....,...
..

Sent using Jamii Forums mobile app
usijifanye mjuaji kututoa kwenye issue.mtatafuta mbuzi wa kafara hadi lini.watanzania wenye ufahamu wanajielewa!!!!!
 
Je, uko tayari kusaidia upelelezi ili hao watuhumiwa wa cdm watiwe nguvuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…