Kumbe na wew kuna wakati huwa unajitoa ufahamu?Nan kasema kuwa serikal ndo wahusika, wakat lissu aliwadanya wale mabwana wa ulaya sasa ulitegemea wamwache salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hili mbona linajulikanaUpo sawa kabisa Mkuu..kumbe nawewe umeliona hilo.
Sent from Calculator Phone vesion007
Hahahahaaa sory mkuuKumbe na wew kuna wakati huwa unajitoa ufahamu?
Usikute hapo umeshalipwa buku 7Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Kumbe na wew kuna wakati huwa unajitoa ufahamu?
Sijashangaa sana lakn upo kwenye harakati za kutetea tumbo
Itakuwa ile gongo ya shinyanga inayoitwa shujaa?Hata mimi nimemshangaaa sijui atakuea alikunywaa balim au bingwaa huyu
Labda yule wa nape apatikane kwanza .. na yule wa roma apatikane pia .. labda ndio wanaweza wakambaini hyu wa lissu ....Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Msijishuku jaman subirini uchunguzi na inasemekana kuna ext. Investigators itahusika na inahitaji kuhusika naomba serikali iwakubali kwa moyo safi waje wachunguze matukio yoooote ambayo serikali haijatolea report likiwepo la ROMA,NAPE, JENGO LA WANASHERIA,NA HILI LA LISSU,Nan kasema kuwa serikal ndo wahusika, wakat lissu aliwadanya wale mabwana wa ulaya sasa ulitegemea wamwache salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaa haaaaa, unafikiri tumesahau wahalifu feki walioenda kukiri kwa Gwajima, Ufufuo na Uzima!?Hao hao wahalifu ndio watakaobainisha kua wakifanya hivyo kwa dhamira GANI na walitumwa na nani
Sent from Calculator Phone vesion007
Ndugu yangu hivi wewe unajua maana ya SMG? Ni silaha gani inaweza kupiga risasi 28-32 kwa kipindi kifupi tofauti na silaha zilizopo kwenye kundi la SMG. Tumia basi vichwa vyenu kuwaza baadala ya hayo makalio yenu.Kabla ya kushutumu serikali wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?
Mlitaka atoe ushahidi gani zaidi ya namba za gari?isijekuwa tu naye kashiriki naye mwenyewe kashiriki kwenye tukio either kwa kujua au kutokujua kwani wakati anadai kufuatiliwa alitaja kabisa taasisi fulani kuwa zinahusika bila kuwa na ushahidi wowote.
hiyo kauli imetumika kama kinga na hao waovu.