kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Message imefika asidhani watu hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia.Thread ya kipumbavu kabisa hii!!
Ndivyo mnavyojaribu kuunda uongo wenu hivyo! Haya wakamateni basi, msipowakamata tutajua ni nyie. Hamna ujanja hapo mtaumbuka tu.Huo ni uroho wa madaraka tu..2020.
Lissu alishawafunika kina Lowasa na M/kiti wao Mbowe
Na ikiwezekana jeNaanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Kitu kimoja naelewa in kwamba a professional mercenary/killer doesn't shoot to wound unless those were the orders, kama ilikua afe asingepona,
Kitu kingine serikali au watu makini wakitaka kukuua it won't be this loud unapata Tu ajali kama wangwe au unakutwa umejiua na kesi inafungwa,
Mytake: huu ni mchezo Fulani Tu tukae tuone who'll win
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta uhakika upi?Mmh,mkuu una uhakika???
Ila kusema kweli DAB ni zaidi nafikiri mikakati yote ndie mhusika. Nasikitika sana kijana mbichi kiasi kile anahusika kikubwa na haya ma....tu....ki..o eeeh M/Mungu muongoze siyo tu kulia madabahuni bali umtoe roho mbaya ya ukatiliMagufuli + makonda wauaji
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Thread ya kipumbavu kabisa hii!!
Vyovyote vile mtakavyolazimisha ila ukweli utatamalaki, always ukweli huwa haulazimishwi kama mnavyolazimisha uongo kuwa ukweli, mtashindwa kama mlivyoshindwa jaribio lenu la kumuua Lissu.Na mwingine nae anawaza tundu lissu na chadema wamejaribu kuzima habari ya ripoti ya alimasi kwa gharama ya maisha,mwingine anawaza lowassa ametaka kumuua kwa kuwa lissu anatishia nafasi ya ugombea urais na mwingine anawaza kutokana na matukio ya chadema dhidi ya zitto,chacha wangwe na kupotea kwa ben saanane na uongozi kukaa kimya,mwingine anawaza tundu lissu na fatuma karume kupanga njama za kulipua ofisi za imma ili kujipatia uungwaji mkono kama wanaonewa yote haya chadema wanahusika 100% wasitake kujitoa na wakati wanalijua labda mapuruzai wenye kuwashabikia ndio hawajui!
Unaandika nini, au ni effect ya viroba?
Kwani uongo?Mode please do the needful.
P
Makonda ananuka damu yule muda utasemaIla kusema kweli DAB ni zaidi nafikiri mikakati yote ndie mhusika. Nasikitika sana kijana mbichi kiasi kile anahusika kikubwa na haya ma....tu....ki..o eeeh M/Mungu muongoze siyo tu kulia madabahuni bali umtoe roho mbaya ya ukatili
Sent using Gwikereghe S33
Siku utafongewa mkeo alafu utakuja hapa kumlalamikia Bashite!Ila kusema kweli DAB ni zaidi nafikiri mikakati yote ndie mhusika. Nasikitika sana kijana mbichi kiasi kile anahusika kikubwa na haya ma....tu....ki..o eeeh M/Mungu muongoze siyo tu kulia madabahuni bali umtoe roho mbaya ya ukatili
Sent using Gwikereghe S33
Ndugu Zipo aina zaidi ya 100 za silaha aina ya Machine gun zikiwa zimegawanywa katika makundi 5Ndugu yangu hivi wewe unajua maana ya SMG? Ni silaha gani inaweza kupiga risasi 28-32 kwa kipindi kifupi tofauti na silaha zilizopo kwenye kundi la SMG. Tumia basi vichwa vyenu kuwaza baadala ya hayo makalio yenu.