kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Na mwingine nae anawaza tundu lissu na chadema wamejaribu kuzima habari ya ripoti ya alimasi kwa gharama ya maisha,mwingine anawaza lowassa ametaka kumuua kwa kuwa lissu anatishia nafasi ya ugombea urais na mwingine anawaza kutokana na matukio ya chadema dhidi ya zitto,chacha wangwe na kupotea kwa ben saanane na uongozi kukaa kimya,mwingine anawaza tundu lissu na fatuma karume kupanga njama za kulipua ofisi za imma ili kujipatia uungwaji mkono kama wanaonewa yote haya chadema wanahusika 100% wasitake kujitoa na wakati wanalijua labda mapuruzai wenye kuwashabikia ndio hawajui!