Mimi sina msimamo wa chama chochote..Sasa mkuu,ikiwakamata si itakuwa habari mtambuka ambayo hutataka kabisa kuiona. Maana itabidi hilo dili lote lifurumke.
Naona hatutofautiani sana mawazo. Kinachokuwa kigumu ni kugoma kutoa ushirikiano kwa waathirika wenyewe,ingawa naimani hata kama siyo mwaka huu ukweli utajulikana tu,na tunaweza tusiufurahie.Mimi sina msimamo wa chama chochote..
Lakini natumia logic ya kawaida.
Kama huyo jamaa wa wizarani anafahamu mchongo wote je serikali yenye resources zote inashindwa nini kuwashika hao wahuni ili sheria ishike mkondo wake na mwisho wa siku waki tubu lisu naye atakuwa amedakwa kwa kununua nyara za serikali
Una uwezo wa kutoa ushahidi hadharani?Mkuu kosa kueleza jamaa walidhulumiana?, Ulitaka iwe Siri?
Kuna tatizo katika fikra!Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Aliowadhulumu ndo waliondoa na cctv? Na ndo hao hao waliowaruhsiwa kuingia makazi ya watumishi wakubwa wa serikali. Waliodhulumiwa ndo hao pia wanaohusika na uchunguzi. Taratibu tu mtatajana hadharani, ngoja albadiri ikolee.TL ni msaliti na dawa ya msaliti inajulikana duniani kote!! Kawasaliti watoa info. Siyo mkuu??
Umetumwaaa wewe sio bure nabilaa shakaa wew ni kibarkaa wa magwandaa yakijani shame on youLeo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.
Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Ndio maana wakazuia hata asiombewe wala t-shirts zenye picha yake zisivaliwe duu ebwanaeeKweli Mkuu, wameona anajinufaisha peke yake, wakaona isiwe tabu
Kwa akili ya kawaida inaonekana serikali ina kitu inaficha either document aliyoinunua lisu ni ya hatari kwahio hawawezi kumuattack bila plan au serikali ndo imehusika kumshambuliaNaona hatutofautiani sana mawazo. Kinachokuwa kigumu ni kugoma kutoa ushirikiano kwa waathirika wenyewe,ingawa naimani hata kama siyo mwaka huu ukweli utajulikana tu,na tunaweza tusiufurahie.