Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Sio lazama wote tulete nyuzi humu, wengine tukisoma zilizoletwa na Great Thinkers inatosha jamani, sasa mtu anatuletea Ushuzi kama huu maneke nini?
 
Huyo aliye kuaminisha huo ujinga. Anakuona wewe ni zuzu. Hata sokwe hawezi kukuamini na huo uzushi wenu.
 
Mie nilijua tu. Issue za kudhulumiana ni mbaya sana. TL alijifanya mjuaji kumbe kuna wenzake wajuaji zaidi. Matokeoyake wamemTL.
 
Sasa mkuu,ikiwakamata si itakuwa habari mtambuka ambayo hutataka kabisa kuiona. Maana itabidi hilo dili lote lifurumke.
Mimi sina msimamo wa chama chochote..
Lakini natumia logic ya kawaida.
Kama huyo jamaa wa wizarani anafahamu mchongo wote je serikali yenye resources zote inashindwa nini kuwashika hao wahuni ili sheria ishike mkondo wake na mwisho wa siku waki tubu lisu naye atakuwa amedakwa kwa kununua nyara za serikali
 
Mara paaah! Ikawa kweli.

Asee nawaza tu, huu ujumbe ungeheuzwa tu, mtu kesi ya uchochezi ingemuhusu
 
Mimi sina msimamo wa chama chochote..
Lakini natumia logic ya kawaida.
Kama huyo jamaa wa wizarani anafahamu mchongo wote je serikali yenye resources zote inashindwa nini kuwashika hao wahuni ili sheria ishike mkondo wake na mwisho wa siku waki tubu lisu naye atakuwa amedakwa kwa kununua nyara za serikali
Naona hatutofautiani sana mawazo. Kinachokuwa kigumu ni kugoma kutoa ushirikiano kwa waathirika wenyewe,ingawa naimani hata kama siyo mwaka huu ukweli utajulikana tu,na tunaweza tusiufurahie.
 
Ingelikuwa ni hivyo na Serikali Ingelikuwa inafahamu hilo, naamini tungepata taarifa Hiyo Zamani Sana mkuu,na watoaji hizo taarifa wangejitamba kinoma na hilo jina la usaliti walilomtunga lingetamalaki midomoni mwa wapinzani wa Lisu kisiasa.

Pia mkuu, Kama ingekuwa hivyo serikali si ingekubali haraka haraka pendekezo la wapinzani la kutaka uchunguzi huru kwani ungewaumbua vibaya Sana na kuelekea wananchi kutowaamini tena
 
Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.

Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Kuna tatizo katika fikra!
 
TL ni msaliti na dawa ya msaliti inajulikana duniani kote!! Kawasaliti watoa info. Siyo mkuu??
Aliowadhulumu ndo waliondoa na cctv? Na ndo hao hao waliowaruhsiwa kuingia makazi ya watumishi wakubwa wa serikali. Waliodhulumiwa ndo hao pia wanaohusika na uchunguzi. Taratibu tu mtatajana hadharani, ngoja albadiri ikolee.
 
Kawasimulie wanao hizo hadithi za Abunuasi[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Mleta mada umetimiza wajibu wako, tatizo waungwana wengi wa nchi yetu wanapenda sana mambo ya drama.

Ndio maana magazeti ya udaku huwa yanauza kushinda yale yanayoandika habari zenye kuushibisha ubongo.
 
Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.

Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Umetumwaaa wewe sio bure nabilaa shakaa wew ni kibarkaa wa magwandaa yakijani shame on you
 
Naona hatutofautiani sana mawazo. Kinachokuwa kigumu ni kugoma kutoa ushirikiano kwa waathirika wenyewe,ingawa naimani hata kama siyo mwaka huu ukweli utajulikana tu,na tunaweza tusiufurahie.
Kwa akili ya kawaida inaonekana serikali ina kitu inaficha either document aliyoinunua lisu ni ya hatari kwahio hawawezi kumuattack bila plan au serikali ndo imehusika kumshambulia
 
Back
Top Bottom