Unasema ni gumu but at the same time unapiga ramli chonganishi eti ni cdm.Ungeweka na 5. Inawezekana washambuliaji wakatoka cdm yenyewe katika mpambano wa kugombea mgombea urais wao 2020.
6. Washambuliaji kutoka huko huko cdm ili kuichonganisha serikali na wananchi?
Hili suala ni gumu sana linachohitaji ni kusubiri uchunguzi wa vyombo vya usalama tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimimimi namba 3 ndiyo jezi yangu kabisaaaaa.... hiyo namba naikubali kabisaa hainaga dought
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia mimi ni mtu mzima?[emoji38][emoji38]1)Mtoto kumdanganya mtoto mwenzie tunasema mtoto anacheza
2)mtoto kumdanganya mtu mzima tunasema mtoto anakua
3)Lakini mtu mzima kumdanganya mtu mzma mwenzake kuna walakini
Huu ulikuwa ni mpango uliosukwa (conspiracy).Hivi si alisema kuna watu walikuwa wanamfuatilia na gari Toyota Premio akawakaba na kisha akamuonya IGP? Huko Dodoma ameshindwa kuwakaba? au Wanaume wale wa Dar ndio waliwezekana na Wa Mikoani kawashindwa?
Huna sababu ya maana kuanzisha uzi huu. Unatupotezea muda tu. Mengi yameshasemwa kupitia mada zingine.Nimefuatilia maoni ya watu mbalimbali katika mitandao yakijamii kunabaadhi ya watu tayari wameshajitwika mzigo wa vyombo vya dola. Wanatoa kauli za ajabu Sana ebu watanzania tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake. Pia niwasihi watanzania wenzangu tuache kutumia mitandao ya kijamii vibaya. Utakuta mtu mwingine anatoa maneno ya ajabu utafikiri Kama wale Jamaa wanaotukana huku wakiwa ng'ambo Ni vitu hatari Sana.
Nje ya mitandao ya kijamii na baadhi ya wasomi, Magufuli anakubalika na wengi nvhini, hasa vijijini ambako kura nyingi ndiko zinakotoka. Waathirika wa sera za Magufuli ni elites pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za siku nzuri mkuu. Tutakutana si muda mrefu kwenye jukwaa letu lisilokuwa na mizengwe.Mkuu habari za siku!,
Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na ww ila pia naomba kupingana na ww!.
Dhana zote zinaweza kuwa valid na zikawa invalid.
Me naomba kuangalia dhana ya serikali.
Toka mwaka unaanza kumekuwa na matukio mengi ya serikali au vyombo vyake kuonekana kwenye makashi kashi ya uharifu na siraha ki ujumla
Mifano ni mingi,tukianzia kwa clauds fm watu wameingia na siraha na mpk leo clouds wanasema ila haikuwa social visit,Nape kutolewa bastola,office za IMMA kuvamiwa na watu wenye mavazi ya askari,akina roma kutekwa. Na mengine mengi ila kwa kiwango kikubwa hao waharifu they manage to get away with it!.
Kipindi cha nyuma akina Ulimboka na hao watu hawakupatikana
Kwa ambao wanafahamu uwezo wa jeshi au usalama kwenye kukusanya habari na ku deal na uharifu mkubwa au organized crime we are real good.na tunaheshimika saana huko kwenye jamii ya inteligency, ila kwa matukio ya uhalifu wa siku hizi kuna external force na watu wanaweza to get away with it!.
Kuna kitu ambacho huwa kina hamasisha jamii kuwa ya kiharifu.na haya matukio yakiendelea yatasababisha mafia au waharifu wa kimataifa kuona kumbe TZ unaweza l
Kufanya uharifu na ku get away with it!.
Neo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ondoa hilo neno "valid"Lissu ana maadui wengi, tuondoe dhana ya kusema kuwa ccm ndiyo ilitaka kumuua. Siasa ni mchezo mchafu, usikute kabisa ni marafiki zake wanaomchukia ama wabunge wenzake wa chadema wasiompenda Lissu. Pia inaweza kabisa kuwa hata mawakili wenzake wanao ona kuwa wanafunikwa na kick azipatazo. In short, Lissu alijijengea maadui ndani ya chama chake, serikali, na wananchi kwa ujumla. Anything is possible na I am not pointing fingers at anyone ila najuwa fika kuwa....waliotaka kumuua Lissu wanaweza kuwa watu wa karibu sana wenye chuki naye au tu walihamua kumsaliti ili afutike kwa maslahi yao wenyewe because hakuna mtu anafanya kitu bila kuwa na valid reason.
Inawezekana ni wale Wastaafu nini? they knew kwamba wao ni next Target ya Magu na Tundu ndio anachokonoa balaa kama moto wa BOMU la Bwana KidukuHuu ulikuwa ni mpango uliosukwa (conspiracy).
Nadhani unahusisha mtandao hatari sana. Ningekuwa na madaraka watu kama Mbowe, Mdee, Bulaya, Msigwa, na wengineo wangepatiwa ulinzi mkali mpaka hiki kijulikane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawa ni hao hao waliohusika na Ulimboka au Ben saa 8 basi watakuwa wamebadilisha modus operandi yao.Hata ben saa 8 amejiteka,
Dr ulimboka aliwataj watesi wake,Nape,clouds tv??,
Sent using Jamii Forums mobile app