- Thread starter
- #141
Indeed.Lord knows.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Indeed.Lord knows.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Safi sana mkuu umeongea bila kuwa upande wowote, katika hili lolote laeza kua kweli, ivi inaezekana kweli upande ule wakataka ishu ya kukabidhiwa ripoti ifunikwe na ishu ya TAL kweli? Ndo hapo unapopata ukakasi wa Ku guess who, tatzo wanaofuatilia kusaka nani mhusika nao kama kuna hesitate laiti wangekua kamili wangemsaidia pia mkuluKazi mojawapo ya idara ya Usalama wa Taifa ni kudetect na kuprevent threat to our national security.
Haihitaji mtu kuwa na akili sana kuelewa kwa hali ya siasa ya sasa ikitokea Lisu akashambuliwa watu watainyooshea vidole Serikali.
Hii ni kwa sababu Lisu ashasema idara hii inamfuatilia na inataka kumdhuru. Pia, anakwaruzana na Magufuli openly. Hii ni sababu nyingine kwa nini jambo lolote lile likitokea juu yake Serikali inanyooshewa vidole.
Sasa Rais anapotangaza kwamba yupo kwenye vita ya uchumi, vyombo vya usalama vinapaswa kuhakikisha hakuna "mzungu" anayekuja kumdhuru Lisu ili kuichonganisha Serikali.
Hivyo alipaswa kuwa chini ya uangalizi. Isitoshe kama mzungu anatoka nje na kuweza kufanya hili basi hatupo salama. Hii inaonyesha failure kwa vyombo vyetu.
Failure hii si mara moja bali mara mbili. Kushindwa kutambua hatari na pia kushindwa kuzuia hatari.
Jambo lingine unalohoji kuhusu hii coincidence ya kusoma ripoti na Lisu kupigwa risasi. Unasahau hizi ripoti si tu zinawachafua hawa wazungu bali hata serikali zilizopita.
Je, inawezekana watu kutoka hizi Serikali zilizopita hawapendi kuchafuliwa na sasa wameamua kuhamisha upepo? Hii pia ni moja ya scenario.
Lakini haya matokeo ya kuteka watu na kutolea bastola watu si mapya sasa.
Kabla ya kunyooshea vidole hao wazungu tujiangalie na sisi kwanza kama tu wasafi.
Nawaje. I am an open book.Get well soon mh. Lisu. Wewe mtoa mada unapaswa isaidie upelelezi, hoja yako inautetezi mwepesi mno ktk dhana mojawapo . Unaleta propaganda hasi.
Natumaini wahalifu watajulikana.Magufuli alishaanza kujihukumu yeye mwenyewe kitambo sana kwa kauli zake mbovu.
Over.
Unaweza kufafanua mkuu. Hiyo itakuwa imenipita.Kuna kiongozi mmoja mkubwa kipindi anakabidhiwa report fulani aliongelea kwamba kuna adui anatakiwa kupewa adhabu ya kifo.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna waliotekwa wakawa tortured. Kuna waliotolewa bastola hadharani. Kuna waliovamia studios na silaha kali. Hata Lissu alishasema hadharani alipofuatiliwa akiwa Dar.Hivi how come Taifa Zima linasikiliza habari za wizi wa Almasi, halafu ghafla bin vuup linatokea tukio la kutaka kumuassasinste kiongozi maarufu, hivi hii haiwezi kuwa ni Strategy ya Mabepari wa Almasi kujaribu kuzuia mjadala wa wizi wa Almasi usiende viral, na pia vyombo vya kimataifa visiripoti move ya serikali kuhusu madini hayo ili kulinda shares za Makampuni yao zisishuke.
Yaani Hii assasination attempt how possible can it be a coincidence na Ripoti ya Almasi kusomwa mbele ya president?
Mabepari yana mbinu nyingi za kublackmail serikali mbalimbali, au hata kutengeneza mazingira serikali zichukiwe na kisha ziangushwe kama zisipotii matakwa yao!!
Sawa, atang'olewa ifikapo 2020. Upinzani usiwe na hofu.Ndugu acha kudanganya watu humu....
Mimi niko kijijini kabisa huku Shinyanga tena kwa wasukuma wenzake huyu Magufuli wako.....
Kama unabisha uliza vijiji vya Tinde, Mwakitolyo, Busanda Mwamashimba, Kizumbi nk viko wapi....
Ukikuta watu kumi, ni mmoja ama wawili pekee ndiyo wanamuunga mkono Rais wako tena kwa kigezo cha ukabila tu (msukuma mwenzao) ni si kwa sbb nyingine iwayo yoyote !!
So, you are just deceiving yourself..... Unaandika tu ukiwa umejifungia kwenye chumba cha kujifichia hapo Lumumba badala ya kwenda kijijini kweli ukafanye utafiti......
Ukiniuliza hisia zangu basi ni dhana ya 4.Huwezi kumzuia binadamu kuhisi jambo, na kila binadamu huwa na hisia. Hisia huletwa na ishara au dalili. Na hisia za kweli huzaa ukweli.
Mleta mada wewe una hisi nani anahusika?
Unadhani kwa nini watu wengi wanahisi mhusika ni yuleee?
Safi sana mkuu umeongea bila kuwa upande wowote, katika hili lolote laeza kua kweli, ivi inaezekana kweli upande ule wakataka ishu ya kukabidhiwa ripoti ifunikwe na ishu ya TAL kweli? Ndo hapo unapopata ukakasi wa Ku guess who, tatzo wanaofuatilia kusaka nani mhusika nao kama kuna hesitate laiti wangekua kamili wangemsaidia pia mkulu
I never thought of that. Unaweza kuwa sahihi kabisa mkuu. Thanks.Hivi how come Taifa Zima linasikiliza habari za wizi wa Almasi, halafu ghafla bin vuup linatokea tukio la kutaka kumuassasinste kiongozi maarufu, hivi hii haiwezi kuwa ni Strategy ya Mabepari wa Almasi kujaribu kuzuia mjadala wa wizi wa Almasi usiende viral, na pia vyombo vya kimataifa visiripoti move ya serikali kuhusu madini hayo ili kulinda shares za Makampuni yao zisishuke.
Yaani Hii assasination attempt how possible can it be a coincidence na Ripoti ya Almasi kusomwa mbele ya president?
Mabepari yana mbinu nyingi za kublackmail serikali mbalimbali, au hata kutengeneza mazingira serikali zichukiwe na kisha ziangushwe kama zisipotii matakwa yao!!