Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejifunza kitu hapa.Kazi mojawapo ya idara ya Usalama wa Taifa ni kudetect na kuprevent threat to our national security.
Haihitaji mtu kuwa na akili sana kuelewa kwa hali ya siasa ya sasa ikitokea Lisu akashambuliwa watu watainyooshea vidole Serikali.
Hii ni kwa sababu Lisu ashasema idara hii inamfuatilia na inataka kumdhuru. Pia, anakwaruzana na Magufuli openly. Hii ni sababu nyingine kwa nini jambo lolote lile likitokea juu yake Serikali inanyooshewa vidole.
Sasa Rais anapotangaza kwamba yupo kwenye vita ya uchumi, vyombo vya usalama vinapaswa kuhakikisha hakuna "mzungu" anayekuja kumdhuru Lisu ili kuichonganisha Serikali.
Hivyo alipaswa kuwa chini ya uangalizi. Isitoshe kama mzungu anatoka nje na kuweza kufanya hili basi hatupo salama. Hii inaonyesha failure kwa vyombo vyetu.
Failure hii si mara moja bali mara mbili. Kushindwa kutambua hatari na pia kushindwa kuzuia hatari.
Jambo lingine unalohoji kuhusu hii coincidence ya kusoma ripoti na Lisu kupigwa risasi. Unasahau hizi ripoti si tu zinawachafua hawa wazungu bali hata serikali zilizopita.
Je, inawezekana watu kutoka hizi Serikali zilizopita hawapendi kuchafuliwa na sasa wameamua kuhamisha upepo? Hii pia ni moja ya scenario.
Lakini haya matokeo ya kuteka watu na kutolea bastola watu si mapya sasa.
Kabla ya kunyooshea vidole hao wazungu tujiangalie na sisi kwanza kama tu wasafi.
hawa polisi wanaosema hana uwezo wananchi wapeleke taarifa are you kiddingwaachie kazi hii polisi
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
Yes, dereva atasaidia sana huu upelelezi.Aanze kufanya ujanja ujanja na yeye..
Mfano anaweza kuingia kwenye gari yake kwa mlango wa mbele lakini asikae mbele!
Lakini katika hili nashangaa sana sisikii lolote kuhusu dereva wake!
Mimi nahisi ni dhana #4.Mkuu mbona kama upande wa sehemu fulani umepuuzia na kuegemea upande mwingine!?? Upo upande gani kati ya hapo!?
Pilato 007
Nasema "alietaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
...
Nimefikiria wahusika katika dhana 4. Nitazichambua hizi dhana moja moja.
Dhana zenyewe ni hizi. Washambuliaji ni:
1. Vichaa fulani tu. (Random act)
2. Raia wenye chuki na Lissu kwa kuikalia kooni serikali.
3. Serikali yenyewe
4. Watu wenye chuki na serikali (false-flag attack) ili waisingizie serikali uovu huu.
...
Please tell me I am not crazy.
Uchambuzi mzuri sana na ni kweli sikuyaainisha haya. Asante.Pole kwa familia yake Mh Lissu, Chadema na TLS.
Kifyatu, you are not crazy at all.
Uchambuzi wako unatoa taswira-mwelekeo wa sababu za tukio hilo. Ila umeacha kugusia zifuatazo:
1) Maadui wake kisiasa
3) Maadui wake kiuchumi
1) Kwamba umaarufu wake kisiasa, umemjengea maadui kisiasa, na wasio na subira watapenda kumwondoa. Politics is power na ndiyo maana matajiri na wasomi hukimbilia huko.
2) kwamba katika shughuli zake za uwakili huenda kajijengea uadui na wateja wake au upande wa pili kwa kutokutimiza wajibu wake wa kuwatetea kama itahusisha kiasi kikubwa cha malipo ya pesa. Wapo watu ambao huwa hawana subira ya kukubali matokeo yaliyo kinyume na matarajio yao.
Yote kumi ya sababu, tisa tinajifunza kuwa na simile katika maisha. TUSIKIMBIE WAKATI HATUNA BREKI
Wazi bro una mawazo kama yangu mtu anapoandika atumie taaluma kubwa coz now we educatedUmechambua ila umeonyesha ulikoegemea...wazi
Watu wengi watacheza neki no tatu bila unafkmimi namba 3 ndiyo jezi yangu kabisaaaaa.... hiyo namba naikubali kabisaa hainaga dought
Sent using Jamii Forums mobile app
Saws sawa kabisa. Vyombo vyote vya uchunguzi wanavyo serikali nini kinawazuia kuifanyia kazi theory yako hiyo?Msimsahau..mbowe na LOWASSA into this......Kwa moto alionao LISSU kujijenga na kujipatia umaarufu ni kikwakazo ikubwa sana kwa USTAWI WA UENYEKITI WA MBOWE na ustawai wa LOWASSA kama mgombea URAIS 2020.....Changanya na zako