- Thread starter
- #201
Unaweza kuwa sahihi. 2020 itafichua mambo.Elites ndio wafadhili wa watu wa vijijini, elites wanapoathirika kiuchumi inawagusa moja kwa moja hao wa vijijini. Na sasa ujumbe unaopelekwa vijijini na hao elites ni kwamba sera za huyu mtu ndo zinawafanya wasiwafadhili kama ilivyokuwa awali!
Sent using Jamii Forums mobile app