Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi. Katika hali halisi ambayo "raia namba moja wa Tanzania pamoja na wote wamuungao mkono", wamekuwa wakimshambulia TAML kwa kumuita msaliti. Si hivyo tu, bali pia wamekuwa wakionesha chuki dhahiri hasa katika kila hotuba za hadhara.Wanafiki ndivyo walivyo Mkuu.
Mimi nashauri kutumike nyenzo zote tupate jawabu la hili jambo. Political assassinations sio kitu cha kuchekea.Kama sweli serikali haihusiki iruhusu tume huru ikisaidiwa na umoja Wa mataifa tutajua kuwa ulikoegemea sio wahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sipingani na wewe bro kila mtu ana mawazo yake na naheshim mawazo ya mtuMimi sifichi kuiunga mkono serikali ya Magufuli (sio lazima chama cha CCM). Hapa nimetoa dhana na maoni yangu. Ningefurahi kama ungenichana chana na hiyo bias yangu na kutoa mawazo yako mbadala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hadithi hii..haivutiii..anaweza kuwa na maadui wengi likini sio kwa uandishi wakoMsimsahau..mbowe na LOWASSA into this......Kwa moto alionao LISSU kujijenga na kujipatia umaarufu ni kikwakazo ikubwa sana kwa USTAWI WA UENYEKITI WA MBOWE na ustawai wa LOWASSA kama mgombea URAIS 2020.....Changanya na zako
Mimi sitaki kua mnafiki. Ni kweli kuwa naiunga mkono serikali ya Magufuli. Lakini hapa siitetei serikali bali natoa sababu zangu kwa nini haiwezikani kuwa serikali inahusika.Umeonyesha una maslahi na upsnde flani kiasi umehalibu mada na yaonyesha una mengi zaidi lejea kauli ya jk upinzani so uadui,jalibu kuwa wazi na kuficha hisia zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijalala ila hisia zangu zinaniambia kuna mikono ya haohaoata mimi nimelala nimeota the same hapa kuna kamkono ka mbowe na mteja wake lowasa.
lazima tulipe kodi
Well said mkuu hili jambo wengi sana nabishana nao.Mimi sitaki kua mnafiki. Ni kweli kuwa naiunga mkono serikali ya Magufuli. Lakini hapa siitetei serikali bali natoa sababu zangu kwa nini haiwezikani kuwa serikali inahusika.
Wakifanya hivyo (kumuua Lissu) watakuwa wamewapa CDM ushindi wa kilaini sana ifikapo 2020.
Lakini kwa kujua hili, wasioipenda serikali ya Magufuli wanaweza kabisa kumuua Lissu ili CDM ionewe huruma katika uchaguzi wa 2020.
Hizi mbinu ninazoziita "false-flag" tactics ni za kawaida sana duniani na zinatokea kila leo. Ukitaka ninaweza kukupa mifano mingi sana inayotokea hata sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kabisa. Mimi nilijikita kwenye sababu za kisiasa sana.Muwasilishaji wa uzi ungeongeza namba moja katika nadharia zako.kumbuka jamaa ni mwanasheria pia,pengine kuna kesi anayoisimamia na upende wa pili wa kesi hyo wanajaribu kumtoa uhai kwa manufaa yao...[emoji52]kwahyo tusiegemee upande mmoja tu wa serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani CCM walitaka kujitia doa litakalohakikisha kushindwa kwao ifikapo 2020?hili halitaki tochi ni serikali ya ccm ndio iliyotaka kumuuwa au kutowa fundisho kwa wapinzani sababu 1:chama cha ccm kimezowea kuuwa 2: Magufuli alisema hataki kujaribiwa 3: ccm haraka haraka wametowa taarifa ya kulaani 4: ingekuwa sio dola hakuna anayeweza kufanya hujuma hii mchana kweupekama sio ccm 4: mpaka leo polisi hawajamkamata yoyote na matamshi yao niyaupole hatujawazowea polisi kuwa wapole isipokuwa hujuma iliyofanywa na dola 5: siku zote wapinzani wakitaka kufanya mikutano mapolisi wanawazuwia eti kuna habari za intelijensia mbona kuuliwa wapinzani huwa hawana intelijensia 6:mpaka leo hutukupata habari yoyote kwa kuripuliwa imma advocat ndio imepita hiyo ebu jaribu kipiga jiwe tu branch ya ccm uone walipotaka chadema kufanya maandamano ya ukuta mpaka nevi ilitayarishwa lakini jambo likifanywa na dola utasikiya kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mshambuliaji mkubwa sana wa Lissu katika harakati zake za siasa za upinzani. Mara nyingi nilimshambulia vikali sana kwa hoja. Hii ndio demokrasia. Sio uuaji.Sahihi. Katika hali halisi ambayo "raia namba moja wa Tanzania pamoja na wote wamuungao mkono", wamekuwa wakimshambulia TAML kwa kumuita msaliti. Si hivyo tu, bali pia wamekuwa wakionesha chuki dhahiri hasa katika kila hotuba za hadhara.
Sasa basi, katika mazingira hayo watawezaje kujitoa katika lawama, kushukiwa na kutwezwa na jamii yote? Tafakari!