Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliifikiria hoja hii halafu nikaipa low priority. Lakini ulivyoandika hapa sasa naona inaweza kuwa na mashiko.Naomba nikuongeze hoja ya nne.adui mwingine wa lissu ni lowassa na mbowe. Utambue kuna makubaliano yasiyo rasimi kati ya mbowe na lowassa kuwa lowassa ni mgombea urais mteule mwaka 2020.lkn nyota ya lowassa inaonekana kufifia na kufunikwa ni kijana mpambanaji na mwana harakati msomi tundu antipas lissu.na kuonekana lissu ndio chaguo la wanachadema vijana na wasomi kugombea urais mwaka 2020.hivyo lissu anaelekea kuzima tena ndoto za loeassa kugombea urais 2020 na lissu inaonekana ndie mtu pekee mwenye ueezo wa kupambana johb pombe magufuli.sisemi kuwa lowassa amehusika, ila najaribu kutoa picha tu ya watu ambao naamini wanameona lissu kuwa ni kitisho kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani mkuu?Pita kila sehemu wanayosoma magazeti utasikia wakisema wahusika wa hili swala la Lissu ni kina fulani
Viongozi kadhaa wa CCM wameuawa Kibiti. Ni nani aliehusika vile?Lingekuwa ni tukio la kwanza, ingekuwa taabu kuhisi mpangaji wa mipango hii ya kishetani. Yametokea mauaji na majaribio kadhaa ya mauaji. Wananchi hawana haja ya kuambiwa, nani wamhisi.
Aliuawa Mawazo Geita, aliuwa M/Kiti CDM Arusha kwa kukatwa shingo, waliuawa wananchi waliokuwa wanahudhuria mkutano wa CDM. Ni lazima uwe mpumbav.u hasa kuamini kuwa mauaji haya yanafanywa eti na watu wa nje au wenye chuki na serikali.
Tundu Lisu mwenyewe alikwishatamka kuwa kulikuwa na mpango wa kumwua, na nani alikuwa anataka kumwua.
Finally, the big guns are in.Inaonekana umehusika na huu ujinga
Tusubiri ifike 2020. Tusihesabu vifaranga kabla mayai hayajatotolewa.Hivi wewe Kifyatu kwa akili zako za Lumumba, unadhani kuna mtanzania atendelea kumchagua Dikteta ifikapo 2020? Amechokwa kila kona. Anatuharibia amani yetu. Haya mambo hayajapata tokea katika awamu zote zilizotangulia isipokuwa hii. Tumechoshwa na vitendo hivi vya kinyama. 2020 he must go, over.
Mpuuzi ni yule anayeleta swali wakati jibu analo.Kwa maoni yangu huu ni upuuzi.
Una maana kama vile katika kugombea uenyekiti wa chama?Mpuuzi ni yule anayeleta swali wakati jibu analo.
"Hakuna adui wa Lisu nje ya siasa" by Salumu Mwalimu