Caroline Hans
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 723
- 386
Naona kila mwanalumumba anajitahidi kufungua uzi wa kujitetea, hamchomoki katika hili.
Chuki yenu kwa Lissu tunaijua.
Usilete utani na mashindano yenu ya Lumumba na Ufipa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kila mwanalumumba anajitahidi kufungua uzi wa kujitetea, hamchomoki katika hili.
Chuki yenu kwa Lissu tunaijua.
Only CCM and JPM may a dare to kill TL no more. Get well soon Lisu Taifa linakuhitaji sana.Umenena...
Tunamchukia, ila hana madhara kabisa.Naona kila mwanalumumba anajitahidi kufungua uzi wa kujitetea, hamchomoki katika hili.
Chuki yenu kwa Lissu tunaijua.
Maybe the attackers were NOT Lissu's enemies. Maybe they wanted to implicate Magufuli's government so that he loses elections in 2020.The first suspect will be your 1st enemy, who is Lisu's 1st enemy?? Is known or unknown, I think you know? so usianze kuleta blabla hapa
Nasema "alietaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.
Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio hili la kipekee kwa mbunge (sijui kama kulikwishatokea shambulio jingine kama hili), hapa Tanzania.
Yafuatayo ni malumbano ya kifikra ndani ya nafsi yangu kuwa ni nani hawa waliotaka Tundu Lissu afe. Maoni yako yanahusika, tafadhal.
Nimefikiria wahusika katika dhana 4. Nitazichambua hizi dhana moja moja.
Dhana zenyewe ni hizi. Washambuliaji ni:
1. Vichaa fulani tu. (Random act)
2. Raia wenye chuki na Lissu kwa kuikalia kooni serikali.
3. Serikali yenyewe
4. Watu wenye chuki na serikali (false-flag attack) ili waisingizie serikali uovu huu.
1. Vichaa fulani tu. (Random act)
Hii inawezekana lakini inakinzana na taarifa za kuwa Lissu alikuwa anafuatiliwa na magari kwa kipindi kirefu. Huu mpango ulisukwa na pia walijua wanaemtaka hadi kumfuata mpaka nyumbani kwake. Sidhani hii ilikuwa ni Random Act. Dhana hii ni potofu.
2. Raia wenye chuki na Lissu kwa kuikalia kooni serikali.
Hii inawezekana kabisa. Wengi walimshutumu Lissu kwa kupinga sera zote za serikali (mimi nikiwa mmojawao). Kuna watu walikwenda mbali zaidi na kusema wanataka serikali iwaruhusu wamuue. Ndio maana kuna umuhimu wa kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watu hawa.
Katika demokrasia watu tunashambuliana vikali kwa hoja na sio kwa kuumizana au kuuana. Kama hii itathibitika, basi kuna umuhimu wa kuwapatia ulinzi wanasiasa machachari wanaoibua hisia kali.
Kuna uwezekano mkubwa dhana hii ni sahihi.
3. Serikali yenyewe
Kuna watu mitandaoni wanadhani ni serikali yenyewe ndio imeunda hii mbinu ya kumuua Lissu ili awaondolee kelele. Wengi wanasema Lissu amefichua siri nyingi za serikali kufikia kuwa tishio kwa hii serikali.
Kwa maoni yangu huu ni upuuzi. Serikali hii inakubaliwa na watanzania wengi. Hoja karibuni zote alizotoa Lissu dhidi ya serikali zinaweza kujibiwa kirahisi sana. In fact, baadhi ya shutuma za Lissu zinaipaisha serikali kwa Watanzania. Kelele za Lissu zinaweza kuwa baraka (blessing) kwa CCM ifikapo 2020. Kumuua Lissu kutajenga hisia za uonevu na kuwaonea huruma CDM ifikapo uchaguzi mkuu. Serikali haiwezi kufanya kosa hilo.
Kwa hiyo dhana hii ni potofu
4. Watu wenye chuki na serikali (false-flag attack) ili waisingizie serikali uovu huu.
Hii dhana inahusisha watu wanaoichukia serikali (sio lazima wapinzani, inaweza kuwa watu wa nje) wanaotaka kumuondoa Rais Magufuli madarakani ifikapo 2020 kwa kuihusisha serikali yake na mauaji ya Lissu.
Serikali ya Magufuli imeathiri maslahi ya watu wengi sana wa ndani na wa nje. Akiendelea hivi hivi ana uhakika kabisa wa kupita ifikapo 2020. Sasa utaitoaje hii serikali madarakani ifikapo 2020. Jenga chuki kwayo.
Kama nilivyoeleza kwenye dhana namba 3, watu wakiamini kuwa serikali imemuua Lissu kinyama basi watawaonea huruma CDM na kuichukia CCM. CDM watachukua dola ifikapo 2020.
Je ni nani hawa wanaotaka kufanya unyama kama huu na kuisingizia serikali ya CCM (false-flag attack)?
Nina dhana nyingine 2 au 3 hivi (mfano, internal politics within CDM) lakini ni za pembeni sana na uwezekano wake ni karibu na sifuri. Kwa sasa hayo ndio malumbano yanayoendelea kichwani mwangu.
Please tell me I am not crazy.
AAAh I haven't thought about this scenario. Very possible!Maybe the attackers were NOT Lissu's enemies. Maybe they wanted to implicate Magufuli's government so that he looses elections in 2020.
There are many enemies of Magufuli who wouldn't hesitate to sacrifice Lissu to achieve their goal.
Have you thought of this scenario? It seems more plausible to me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simchukii Lissu bali namlabua vibaya sana kwa hoja zake potofu. Sikatai kumshambulia kwa nguvu zote katika hoja sio kwa kutumia mtutu.Walau katumia akili kdg kutaka kuikingia kifua serikali. Hutafaulu ktk hilo.
Na unajifanya kukiri kuwa ww ni mmoja wao wanaomchukia TL hata kuomba kumuua ss unataka tukufanyeje? Basi ni ww na genge lako ndo mmetekelezq unyama huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu.Kifyatu, umechambua na sioni hata sehemu uliyokosea. Wewe ni mchambuzi makini sana!
kuntu. elite wamegawanyika Mkuu kuna beneficiaries na victims wa policy za Mkuu wa nchi.....kwa sasa pool za kila wizara zina victim wanaosubiri kupangiwa kazi...huwa najiuliza waliopunzishwa wakisubiri. so wanatia hasara tu. Kwa mini wasiende kufanyakaz za ujenz wa taifa hili....zipo nyingi tuuuuu.Nje ya mitandao ya kijamii na baadhi ya wasomi, Magufuli anakubalika na wengi nchini, hasa vijijini ambako kura nyingi ndiko zinakotoka. Waathirika wa sera za Magufuli ni elites pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app