stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Huo ni uroho wa madaraka tu..2020.
Lissu alishawafunika kina Lowasa na M/kiti wao Mbowe
Lissu alishawafunika kina Lowasa na M/kiti wao Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona kama humtendei haki mwanao kumfananisha na mtu kama huyo. Nahisi mwanao ni bora sana hujajua tu.Usikute hapo umeshalipwa buku 7
Sasa mbona ujumbe wako content zero na Logic nayo hamna kbsa?
Huu ujumbe hata mtoto wangu anaesoma darasa la 4 anaweza kuuandi hii inamaanisha mleta mada una akili kama za mtoto wangu wa kike wa darasa la 4
Ebu taarifa yako hiyo ifanye vice-versa!!!!!!Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Mkuu kweli inabidi nimuombe radhi mwanangu nimemkosea sanaMi naona kama humtendei haki mwanao kumfananisha na mtu kama huyo. Nahisi mwanao ni bora sana hujajua tu.
Wanajitoa ufahamu tu, kwani sakata la Ulimboka kutekwa na kuteswa lilikuwaje? Anadhani tumesahau ile movie ya kamanda Cova na yule mkenya chizi? Hii nchi......!!!Acha Ujinga...mwombe mama yako nauli uende shule, au kojoa ukalale mtoto! Kwa akili yako kwanini isiwe serikali? Na kwa akili yako ndo umekaa hapo unasubiri Sirro amkamate Magufuli au Paul Makonda, au yeye mwenyewe Sirro na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wajikamate kuwa ndo walihusika kutaka kumwua Lissu? Acha ujinga dogo
Risasi ndizo zinazoonyesha ni aina gani ya silaha imetumika. SMG na SAR zinatumia aina moja ya risasi. SAR ina magazine yenye risasi 10 wakati SMG ni risasi 30. Aina ya umiminaji wa risasi pia inaweza kukupa picha ni silaha gani kati ya hizo mbili imetumika. Nadhani kwa picha hiyo hata wewe sasa unaweza kujua ni silaha gani ilitumika.Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?
hao ext. investigators hatuwataki ndio wametuibia sana madini yetuMsijishuku jaman subirini uchunguzi na inasemekana kuna ext. Investigators itahusika na inahitaji kuhusika naomba serikali iwakubali kwa moyo safi waje wachunguze matukio yoooote ambayo serikali haijatolea report likiwepo la ROMA,NAPE, JENGO LA WANASHERIA,NA HILI LA LISSU,
Majambazi wangapi nchini wamekamatwa wakiwa na SMG??tena wanakata Bomba za MBELE iwe fupi ZAIDI..Ndugu yangu hivi wewe unajua maana ya SMG? Ni silaha gani inaweza kupiga risasi 28-32 kwa kipindi kifupi tofauti na silaha zilizopo kwenye kundi la SMG. Tumia basi vichwa vyenu kuwaza baadala ya hayo makalio yenu.
Haupo kwenye system so kaa kimya tuNaanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Ni lini misheni ya mzungu ilifeli hasa linapokuja suala LA kuua waliemkusudiaNan kasema kuwa serikal ndo wahusika, wakat lissu aliwadanya wale mabwana wa ulaya sasa ulitegemea wamwache salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaelekea wewe kujua hata jinsia ya binadamu inakupashida nahivo wote tunavaa suruali ! lazima upate taabu kutambua.Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?