Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Kama jeshi la polisi halina taarifa waende kwa mnajimu wa masuala ya utekaji alietabiri kupatikana kwa Roma siku ya jumapili na akapatikana. Atawasaidia kugundua wahalifu wa Dodoma popote walipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mafunzo ya JKT siku hizi yanatoa products za aina yako?
 
Aache propaganda kuteka watu na kuwapoteza ktk utawala wake hii inaashiria kushindwa kujibu hoja nzito kuhusu utawala wake anachokifanya anawakamata na kutaka kuwaua wale wenye uthubutu wa kuhoji ..my take ajue madaraka yanaisha huenda akimaliza muda wake akaishi uhamishoni kwa sababu hii katiba piga ua lazima itabadilishwa haipiti miaka kumi tutapata katiba mpya ..na ccm ipo siku wataondoka hili suala wasijifariji kwamba watabaki milele wakitawala e.g.zanzibar shein alishindwa uchaguzi ; bagbo na yahya jameh ..namhurumia sana magufuli na shein kwani attack wanazofanya ndio zinazoofisha utendaji wa serikali zao hii leo wameshindwa hata kuongeza mishahara ..kuajiri ..zimebaki porojo tu na kidiplomasia tumedondoka vibaya mikopo elimu ya juu hakuna tena hivyo mwambieni magufuli ccm ikitoka au katiba ikibadilishwa anayo kesi ya kujibu ukonga apaone tu kwa kuwapeleka akina manji na yeye ataingia ..hii mtanikumbuka

Cc keki ya harusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Thread ya kipumbavu kabisa hii!!
 
Ni bora hayo Madini na Maliasili anayojifanya anayapigania yaendelee kuibiwa kuliko mtu kuwaletea wananchi wake kuishi kwa hofu, kuteka watu na kuuwa.
 
Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??

Sent from Calculator Phone vesion007
Wanapoteza muda kuisingizia Serikali. Watakuja kuaibika baadaye kama walivyoaibishwa na Uhuru Kenyatta.
 
Kitu kimoja naelewa in kwamba a professional mercenary/killer doesn't shoot to wound unless those were the orders, kama ilikua afe asingepona,
Kitu kingine serikali au watu makini wakitaka kukuua it won't be this loud unapata Tu ajali kama wangwe au unakutwa umejiua na kesi inafungwa,
Mytake: huu ni mchezo Fulani Tu tukae tuone who'll win

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nan kasema kuwa serikal ndo wahusika, wakat lissu aliwadanya wale mabwana wa ulaya sasa ulitegemea wamwache salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahao wabunge wanao lalamika kuwa walikuwa wanafatiliwa vipi wao waliwadanganya wazungu nn,wacheni kuwa na mawazo cheap ,tunahitaji maombi kwenye hili taifa,vipi Roma Naye aliwadanganya wazungu nn,wakina bashe,nape,lema nao wamewadanganya wazungu nn mpaka wafwatiliwe acheni hayo mawazo kabisa lazima tupate majibu makini kwenye haya maswali
 
Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?

Hahahhahaha utetezi wa UVCCM ni shida.Hivi hujui kwamba akina ya Visasi na upigwaji wa risasi unaonyesha aina ya silaha iliyotumika.

Kumbuka ndani ya gari kulikuwa na watu wawili sasa wewe kazana kitafuta Mchawi siye tumeshamjua mchawi.

Kipenzi Cha baba alikosekana kwenye kuuza sura kule Ikulu uliwa wapi??Saa kumi.na moja asubuhi yupo Morogoro alifuata nini huko??Lile gari liloua watu na kusheheni vijana walibeba silaha za kivita walikuwa wanatoka wapi??Au kuna vita mahali hatujui??

Kadanganye Lumumba bwana
 
Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?
Akili zako mgando. Wote walioshuhudia Wakati mmoja na Mbowe hawakupita mgambo? Acha kukalili majibu. ..
 
Back
Top Bottom