keki ya harusi
JF-Expert Member
- Jul 23, 2017
- 271
- 430
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thread ya kipumbavu kabisa hii!!Aache propaganda kuteka watu na kuwapoteza ktk utawala wake hii inaashiria kushindwa kujibu hoja nzito kuhusu utawala wake anachokifanya anawakamata na kutaka kuwaua wale wenye uthubutu wa kuhoji ..my take ajue madaraka yanaisha huenda akimaliza muda wake akaishi uhamishoni kwa sababu hii katiba piga ua lazima itabadilishwa haipiti miaka kumi tutapata katiba mpya ..na ccm ipo siku wataondoka hili suala wasijifariji kwamba watabaki milele wakitawala e.g.zanzibar shein alishindwa uchaguzi ; bagbo na yahya jameh ..namhurumia sana magufuli na shein kwani attack wanazofanya ndio zinazoofisha utendaji wa serikali zao hii leo wameshindwa hata kuongeza mishahara ..kuajiri ..zimebaki porojo tu na kidiplomasia tumedondoka vibaya mikopo elimu ya juu hakuna tena hivyo mwambieni magufuli ccm ikitoka au katiba ikibadilishwa anayo kesi ya kujibu ukonga apaone tu kwa kuwapeleka akina manji na yeye ataingia ..hii mtanikumbuka
Cc keki ya harusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapoteza muda kuisingizia Serikali. Watakuja kuaibika baadaye kama walivyoaibishwa na Uhuru Kenyatta.Naanza na kutoa pole kwa watz wenzangu juu ya Mh.Lissu kwa janga lililomkuta..
Kwamfano Siku imetokea Mara Mungu amejaalia hao wahalifu wakakamatwa na IKIBAINIKA kua serikali haikuhusiana kabisa na matendo hayo..
HAO WENYE KUISHUTUMU SERIKALI YETU YA AWAMU YA 5,JE NYUSO ZAO WATAZIWEKA WAPI??
Sent from Calculator Phone vesion007
Nahao wabunge wanao lalamika kuwa walikuwa wanafatiliwa vipi wao waliwadanganya wazungu nn,wacheni kuwa na mawazo cheap ,tunahitaji maombi kwenye hili taifa,vipi Roma Naye aliwadanganya wazungu nn,wakina bashe,nape,lema nao wamewadanganya wazungu nn mpaka wafwatiliwe acheni hayo mawazo kabisa lazima tupate majibu makini kwenye haya maswaliNan kasema kuwa serikal ndo wahusika, wakat lissu aliwadanya wale mabwana wa ulaya sasa ulitegemea wamwache salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi, akili ndogo hushindwa kukabiliana na hoja.Akili ndogo hudhania kile ambacho ni rahisi kudhani
Magufuli + makonda wauaji
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?
Akili zako mgando. Wote walioshuhudia Wakati mmoja na Mbowe hawakupita mgambo? Acha kukalili majibu. ..Kabla ya kushutumu serikali watu wameshindwa kuhoji hili wakati katika CV ya Mbowe hakuna sehemu hata moja inayoonyesha Mbowe aliwai hata kupitia Mgambo au JKT lakini kabla hata ya Police kutoa statement tayari Mbowe alikuwa ameshataja mpaka aina ya silaha iliyotumika kumshambulia Lissu je alijuaje kama silaha iliyotumika ni SMG au machine gun hapa namnukuu '' Gari iliyokuwa inamfata nyuma ghafla ilitoa bunduki aina ya machine gun SMG na kuanza kumiminia risasi'' swali la kujiuliza alijuaje wakati hapakukutwa silaha eneo la tukio ?
Hapo sasa ndio umeongea Point..Kwa jinsi lilivyotokea wewe kama binadamu unahisi ni nani aliyefanya kitendo hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee.....Alisema hadharani spika awashughulikie ndani yeye atadiri nao nje.