Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.

Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Kwa wale mnaoandika mambo ya kuzua kama haya muwe na consciences. Hilo ni suala lako na Mungu wako.

Ila tu sasa kuna AI na IOT si muda mrefu watu kama nyie mtakuwa wazi. Na itakuwa aibu kwenu
 
Ingekuwa hivyo serikali ingekuwa mstari wa mbele kuchunguza na hata huo uchunguzi huru wa kimataifa ulioombwa ungeruhusiwa. Hoja ya kijinga sana hii ya mtu asiyejua kutengeneza uongo
Uchunguzi wa kimataifa huoni kuwa ungepelekea kumleta mnunua documents! Tangu lini mfungwa akachagua gereza,kama anahaki anayo tu,na kama anahatia vilevile itajulikana tu.
Kurukaruka kwa maharage ndo kuiva...hata azunguke mwaka mzima hapa ni kwao atarudi tu.
 
Amakweli yule dada mwembamba wa Marekani ameharabu upstairs za wabongo wengi sana jamani
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Leo nimekutana na mdau flani toka wizara flani ya serikali ya Tanzania, tulikuwa tukipata chakula cha mchana sehemu flani hapa dar, sitaitaja jina kwa Sababu flani.akaniambia mdogo wangu shambulizi la Lissu serikali haihusiki hata kidogo, wanaionea bure kabisa, siasa inatupeleka vibaya. Kaniambia unajua shambulizi hili limetokana na kudhulumiana pesa, jamaa zangu walikua wananyofoa nyaraka wizarani wanampa kwa makubaliano ya ujira, tatizo la Lissu Kila alipopewa pesa na wazungu aliwaeleza wale jamaa kwamba bado malipo yanashughulikiwa Kumbe alikua analipwa kwa instalment , wakimsumbua Sana anakata kiwango kidogo Sana, akidai yeye ndo master plan wasiwe na Shaka , sasa jamaa wakaona huyu tunamtajirisha yeye huku Sisi Kazi zetu zipo hatarini, ndo maana wakaona dawa ni ku revenge, jamaa Kaniambia wazungu walimtegemea Sana Lissu , na yeye aliwaambia wasiwe na Shaka kwa kua ametengeneza mtandao mpana kuhakikisha serikali haifurukuti kwa Mikataba iliofungwa hapo nyuma.

Tuwe na subra, mengi tutayasikia, yatabadilisha mitizamo yetu kabisa
Na zile kamera alitoa nani?Na walinzi getini aliwatoa nani?Na hao jamaa waliondoka vipi baada ya tukio bila kukwamishwa na msongamano wa magari? Mimi simjuwi aliyefanya haya,lakini hoja ulizoandika hapa hazikidhi vigezo vya fikra pevu,hivyo basi ni vema ukaenda kuwaeleza watoto wa chekechea
 
Kwa wale mnaoandika mambo ya kuzua kama haya muwe na consciences. Hilo ni suala lako na Mungu wako.

Ila tu sasa kuna AI na IOT si muda mrefu watu kama nyie mtakuwa wazi. Na itakuwa aibu kwenu
Kama huu ni uzushi ukweli ni upi, wewe na mungu wako?
 
Upumbavu kabisa,na zile kamera alitoa nani?Na walinzi getini aliwatoa nani?Na hao jamaa waliondoka vipi baada ya tukio bila kukwamishwa na msongamano wa magari?Mimi simjuwi aliyefanya haya,lakini hoja ulizoandika hapa hazikidhi vigezo vya fikra pevu,hivyo basi ni vema ukaenda kuwaeleza watoto wa chekechea au misukukule.
Kamera hapa zinakujaje?, ni wewe kukubaliana na hoja au kukataa, simple
 
Hv ww mtoa mada unavijua vichwa vilivyomo humu jf. huwez danganya kitoto hivo.
 
Mkuu kosa nilipi hapo, kueleza nilichobahatika kukipata, nikaona nikilete tukijadili
 
Ungemuuliza vipi zile kamera pale area d ziko wapi?
Na mbona polisi wakakataza lisu asizungumziwe?
Afu ungemtia dola$
 
Mleta mada bila shaka atakuwa na tatizo la akili
 
TL ni msaliti na dawa ya msaliti inajulikana duniani kote!! Kawasaliti watoa info. Siyo mkuu??
Unaandika upupu wako mwenyewe kisha unajijibu mwenyewe kwa id nyingine. Mtaendelea kuwa wajinga zaidi, kwa mawazo ya kijinga kama haya. Tatizo kubwa kukaa kwenu, ugali wa bure, chai bure, unalala bure
 
Mkuu tindo, kosa hapa ni kusikia jamaa walidhulumiana?, haikutakiwa kusemwa hadharani?,

Mkuu thetallest tulishatoka kwenye enzi hizo za kuletewa propaganda hizi za kizee. Propaganda za hivi pelekeeni wazee huko vijini wale wanaotumia simu za torch ambazo button zimefutika maandishi. Narudia tena kukuambia, hicho alichofanyiwa Lissu ni mambo ya kawaida kabisa huku Africa kwa wapinzani wanaoikosoa serekali waziwazi. Na hali hiyo hutekelezeka zaidi unapokuwa na kiongozi asiye na ushawishi wa kisiasa, wala uwezo wa kidiplomasia.
 
Back
Top Bottom