The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Point!mkuu wewe umeifata hio formula?? ni mapendekezo tu, sasa hivi hali halisi yamaisha ni ngumu, hivo kujizalia bila kupangilia ni kuzidi kujididimiza kwenye shimo usilojua urefu wake, ni heri uzae watoto ambao wanaendana na kipato chako na sio kufata mkumbo et wazee kua wapweke kisa tumezaa watoto kidogo ndio ujizalie tu kuja kuwaliwaza hao wazee
watoto wanahitaji basic needs fikiria tu kwa uwezo wako utaweza kuwapatia mahitaj yao wakiwa kumi au sita?? mimi naunga mkono kupanga uzazi kutokana na kipato chako
watu wote wakilima hayo mazao tutamuuzia nani?? hii dunia kila sekunde moja watu wanakufa watu wanazaliwa, mkuu wewe kama uwezo wa kuzaa watoto hata elfu moja wewe jizalie tu ni wanao hao na uwe responsible kwa wanao mie nimechagua watoto wachache kulingana na vipato vvyetuTunaongeza wawekezaji wa ndani; kwa sababu hata wakiwa wachache hawawekezi nje na hata ndani hawawekezi ipasavyo.
Aaawww 🤭🤭Point!
Itoshe kusema I love you
Walioleta uzazi wa mpango, walikuwa na lengo la idadi ya watu iendane na ukubwa wa eneo.Unamleta duniani kiumbe ambacho hujakiandalia future yake, huwezi hata afford basic need zake na hapo hapo wewe kwanza huna future mpaka wakati huo unamleta dunia hii, hivi utaweza mjengea future mtoto wako wakati wewe mwenyewe huna future!! That's impossible
Dunia hii chanzo cha haya matatizo yote yanaleta na wazazi wasiojua nini maana ya uzazi wa mpango
Kwa sasa kuna uhaba wa nafaka, kila mmoja analalamika vitu kupanda bei? Sasa najiuliza, atakayekwenda kulima ni roboti au?watu wote wakilima hayo mazao tutamuuzia nani??
Hivi hujawahi jiuliza kwanini mimba zisizo na mpango zinatokeaga magetoni na nyumba za wageni?Walioleta uzazi wa mpango, walikuwa na lengo la idadi ya watu iendane na ukubwa wa eneo.
Kama basi lina siti 60; kwa walioleta uzazi wa mpango walikuwa abiria 80, kwa huku kwetu kama basi lina siti 60, abiria wako 20; halafu unataka upunguze hao abiria 20; kwa nini?
Tunawapongeza sana, wanatakiwa wapewe tuzo.Na kuna makabila wanazaliana kama panya. Sijui niwataje!?
Wao wanaona ufahari kutuongezea taifa la wajinga. Ila sio mbaya wanatuongezea namba ya manamba wa kuwatumikisha kwa malipo ya kibaradhuli.
wewe ndio ukalime baba mtoto asome vizur kesho umekua mzee aweze kusimamia vizur rasilimali kwa uwezo wa elimu uliompaKwa sasa kuna uhaba wa nafaka, kila mmoja analalamika vitu kupanda bei? Sasa najiuliza, atakayekwenda kulima ni roboti au?
Tatizo ni hofuHivi hujawahi jiuliza kwanini mimba zisizo na mpango zinatokeaga magetoni na nyumba za wageni?
To yeye!?Hakika
TrueWatu watahisi ni chai, Hii hali ipo, Binafsi nisipopata mtoto wa kiume, Mume wangu ukoo wake unaishia kwake. Yeye ndio wa mwisho mwenye sir name yao.
ukitaka mtoto wako asome pazuri ni hela, avae vizuri ni hela, ale vizuri ni hela, achana na hayo ya kuvaa na kula mana siku hazifanani, hapo kwenye elimu ndio pa kumwekezea mtoto, sio mashamba na mali
sasa baba tia maji tia maji huyo mtoto s ataishia hizi shule za kata?? tena si ajabu akasoma bila kupangiliwa, uniform zimechanika, madftar hayaeleweki begi hana
msiangalie kuzaa kwa kua kuna mipori ya kufa mtu Equation x iangalie hii dunia inayokwenda
Wapo wanaoifuataKwani nani anafata hio formula, Mimi nataka nizae mpaka basi
Maisha yenyewe ya kupita,Wapo wanaoifuata
Achilia mbali kufariki unawezakua na watoto 10 na wasikufae chochote uzeeni yaani watoto 10 wakashindwa kuwafanyia ihsani nyie wawili uzeeni ukawa hauna tofauti na mgumba, mifano mingi tunaiona kwenye jamiiMfano umezaa mtoto mmoja, akanyakuliwa mbinguni, hapo itakuwaje?
Exposure ni kitu muhimu.Wanakula chakula gani special, wanapata elimu gani special n.k mfano, akisoma Oxford au Harvard n.k, atakuja kujenga kiwanda cha magari? au ataajiriwa tu? au atakuja kuwekeza viwanda kwenye mapori yote tuliyonayo?
Naamini familia zikirudi kwenye kilimo na ufugaji; suala la malezi, uchumi, na elimu kwa watoto wao hata wakiwa 10 linawezekana.