Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

Unamleta duniani kiumbe ambacho hujakiandalia future yake, huwezi hata afford basic need zake na hapo hapo wewe kwanza huna future mpaka wakati huo unamleta dunia hii, hivi utaweza mjengea future mtoto wako wakati wewe mwenyewe huna future!! That's impossible

Dunia hii chanzo cha haya matatizo yote yanaleta na wazazi wasiojua nini maana ya uzazi wa mpango
 
mkuu wewe umeifata hio formula?? ni mapendekezo tu, sasa hivi hali halisi yamaisha ni ngumu, hivo kujizalia bila kupangilia ni kuzidi kujididimiza kwenye shimo usilojua urefu wake, ni heri uzae watoto ambao wanaendana na kipato chako na sio kufata mkumbo et wazee kua wapweke kisa tumezaa watoto kidogo ndio ujizalie tu kuja kuwaliwaza hao wazee

watoto wanahitaji basic needs fikiria tu kwa uwezo wako utaweza kuwapatia mahitaj yao wakiwa kumi au sita?? mimi naunga mkono kupanga uzazi kutokana na kipato chako
Point!
Itoshe kusema I love you
 
Tunaongeza wawekezaji wa ndani; kwa sababu hata wakiwa wachache hawawekezi nje na hata ndani hawawekezi ipasavyo.
watu wote wakilima hayo mazao tutamuuzia nani?? hii dunia kila sekunde moja watu wanakufa watu wanazaliwa, mkuu wewe kama uwezo wa kuzaa watoto hata elfu moja wewe jizalie tu ni wanao hao na uwe responsible kwa wanao mie nimechagua watoto wachache kulingana na vipato vvyetu
 
Unamleta duniani kiumbe ambacho hujakiandalia future yake, huwezi hata afford basic need zake na hapo hapo wewe kwanza huna future mpaka wakati huo unamleta dunia hii, hivi utaweza mjengea future mtoto wako wakati wewe mwenyewe huna future!! That's impossible

Dunia hii chanzo cha haya matatizo yote yanaleta na wazazi wasiojua nini maana ya uzazi wa mpango
Walioleta uzazi wa mpango, walikuwa na lengo la idadi ya watu iendane na ukubwa wa eneo.
Kama basi lina siti 60; kwa walioleta uzazi wa mpango walikuwa abiria 80, kwa huku kwetu kama basi lina siti 60, abiria wako 20; halafu unataka upunguze hao abiria 20; kwa nini?
 
Hivi hujawahi jiuliza kwanini mimba zisizo na mpango zinatokeaga magetoni na nyumba za wageni?
 
ukitaka mtoto wako asome pazuri ni hela, avae vizuri ni hela, ale vizuri ni hela, achana na hayo ya kuvaa na kula mana siku hazifanani, hapo kwenye elimu ndio pa kumwekezea mtoto, sio mashamba na mali

sasa baba tia maji tia maji huyo mtoto s ataishia hizi shule za kata?? tena si ajabu akasoma bila kupangiliwa, uniform zimechanika, madftar hayaeleweki begi hana

msiangalie kuzaa kwa kua kuna mipori ya kufa mtu Equation x iangalie hii dunia inayokwenda
 
Wanakula chakula gani special, wanapata elimu gani special n.k mfano, akisoma Oxford au Harvard n.k, atakuja kujenga kiwanda cha magari? au ataajiriwa tu? au atakuja kuwekeza viwanda kwenye mapori yote tuliyonayo?

Naamini familia zikirudi kwenye kilimo na ufugaji; suala la malezi, uchumi, na elimu kwa watoto wao hata wakiwa 10 linawezekana.​
 
Exposure ni kitu muhimu.
 
Back
Top Bottom