Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

Ni nani aliyekuja kutupa formula, ukiwa na mafanikio kidogo, unatakiwa uzae watoto wawili au mmoja?

Sasa jina la ukoo wenu likiwa la malofa na panya road kuna faida gani?
Kwa hiyo unaamini suluhisho ni kutokuzaa? Kwa nini uzalishaji wa shambani umepungua? kwa nini vitu vinapanda bei ?"wazalishaji ni wachache''.

Suluhisho ni kutatua changamoto iliyopo, labda kwa kuongeza mashamba kwa ajili ya kilimo au ufugaji n.k na mapori ni mengi yanahitaji watu.​
 
Tatizo kubwa, wengi tunaishi mijini kwa kununua mahitaji yetu ya kila siku dukani iwe chumvi, kitunguuu, mchicha n.k; ila wazee wetu walikuwa wakimiliki mashamba, mifugo na maisha yalikuwa yanaenda.
Cha kufanya kwa sasa, uwe unaishi mjini au kijijini; nunua shamba, na ikiwezekana chakula chako kitoke shamba. Tofauti na hapo, utakuwa fursa kwenye duka la mangi na utakuwa unaogopa kuwa na watoto au kuoa.​
Mara nyingi mtu kama huyu utakuta ni kula kulala tu au anakaa Kwa Shemeji.
 
Kwa hiyo unaamini suluhisho ni kutokuzaa? Kwa nini uzalishaji wa shambani umepungua? kwa nini vitu vinapanda bei ?"wazalishaji ni wachache''.

Suluhisho ni kutatua changamoto iliyopo, labda kwa kuongeza mashamba kwa ajili ya kilimo au ufugaji n.k na mapori ni mengi yanahitaji watu.​
Unatumia bangi?
 
Mara nyingi mtu kama huyu utakuta ni kula kulala tu au anakaa Kwa Shemeji.
Tukirudisha zile desturi za wazee wetu wa zamani, kijana akifikisha miaka 20 akajitegemee, itasaidia vitu vingi sana.
Kuliko unakuta kijana/binti ana miaka 30+ yuko kwao/ kwa shemeji ukitegemea awe na mawazo chanya.
 
Kwahiyo Wanigeria wanawazidi maisha Monaco na Norway?
Mfano: A ana watoto 4; B ana watoto 2; A na B kila mmoja akapewa shilingi 1000 ili kila mmoja awagawie watoto wake; kila mtoto wa A alipata 250, na kila mtoto wa B alipata 500.
 
Wewe fyatuwa tu hujakatazwa uongeze idadi ya panya road mitaani.

Ya nini ujaza msururu wa Watoto uje kuwatesa duniani ilihali wewe mwenyewe tu tia maji tia maji.

Zamani jukumu la malezi ya mtoto lilikuwa la serikali, tulisoma bure na ilikuwa ni fahari ukifaulu darasa la saba kuanza secondary school ya serikali, ilikuwa ni heshima na fahari kubwa ila Kwa Sasa ni kinyume chake.
Fact
 
Mtu unabidi kutafuta maisha ili uishi vizuri na sio kuzaa watoto ili waje kufanya Kazi kwa Bakhressa na walipwe elfu tatu.

Kama wewe ni masikini usizae. Lakini masikini anaona Ari yake ngumu then ... Anapambana kuzaa watoto kibao huku wanakula mlo mmoja ni upuuzi
 
Acha ku imagine ujinga, principle iko hivi zaa idadi unayoweza kuwapatia premium life,
Weka utaratibu wote wasome shule na vyuo vya serikali, kwa nini uogope kuzaa; kwa sababu hata hao wachache unaotaka uwape good life, hawahendi kuvumbua chochote mwezini.
 
Mtu unabidi kutafuta maisha ili uishi vizuri na sio kuzaa watoto ili waje kufanya Kazi kwa Bakhressa na walipwe elfu tatu.

Kama wewe ni masikini usizae. Lakini masikini anaona Ari yake ngumu then ... Anapambana kuzaa watoto kibao huku wanakula mlo mmoja ni upuuzi
Ulishawahi kujiuliza kwa nini mazao hayazalishwi kwa wingi?
 
mkuu wewe umeifata hio formula?? ni mapendekezo tu, sasa hivi hali halisi yamaisha ni ngumu, hivo kujizalia bila kupangilia ni kuzidi kujididimiza kwenye shimo usilojua urefu wake, ni heri uzae watoto ambao wanaendana na kipato chako na sio kufata mkumbo et wazee kua wapweke kisa tumezaa watoto kidogo ndio ujizalie tu kuja kuwaliwaza hao wazee

watoto wanahitaji basic needs fikiria tu kwa uwezo wako utaweza kuwapatia mahitaj yao wakiwa kumi au sita?? mimi naunga mkono kupanga uzazi kutokana na kipato chako
Sahihi kabisa Madame S
 
Ukoo wetu tumebakia wachache Sasa kama hatuto zaa sana watoto wa kiume Kuna uwezekano jina la ukoo wetu likapotea ni Rai a Kila mwanaukoo wa kiume kupambania ukoo wetu usije kupotea.......
Civilization+ family planning sio Kwa waafrika.....
Watu watahisi ni chai, Hii hali ipo, Binafsi nisipopata mtoto wa kiume, Mume wangu ukoo wake unaishia kwake. Yeye ndio wa mwisho mwenye sir name yao.
 
Mfano umezaa mtoto mmoja, akanyakuliwa mbinguni, hapo itakuwaje?
hata ukizaa kumi namoja wakti wao ukifika watakufa tu si ajabu wakafululiza had ukakufuru umemkosea nn Mungu na hua wanakufaga kipindi mzazi unaanza kuona matunda ya uzao wako hivo hio sio sababu utazaa wengine

wewe ukiona ndio wale wa watoto huja na riziki zao hivo unajizalia tu n wewe,
 
Sasa msipozaa, haya mapori yatamalizwa na wakina nani?; tunakoelekea huko watoto wakiume hawaoi na hawazalishi
 
Back
Top Bottom