Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Sasa jina la ukoo wenu likiwa la malofa na panya road kuna faida gani?
Kwa hiyo unaamini suluhisho ni kutokuzaa? Kwa nini uzalishaji wa shambani umepungua? kwa nini vitu vinapanda bei ?"wazalishaji ni wachache''.
Suluhisho ni kutatua changamoto iliyopo, labda kwa kuongeza mashamba kwa ajili ya kilimo au ufugaji n.k na mapori ni mengi yanahitaji watu.
Suluhisho ni kutatua changamoto iliyopo, labda kwa kuongeza mashamba kwa ajili ya kilimo au ufugaji n.k na mapori ni mengi yanahitaji watu.