Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Nimekubali kuwa wewe ovacardo.
 
Sasa wewe nini kinakuuma Kwa mtu kurejea nyumbani kwao?
Au nawewe ni mmojawapo walioshiriki kumshambulia?
Na wewe pesa anazolipwa na mabeberu kuichafua Tanzania hua anakupunguzia kidogo?
 
Lissu hana hoja, ana porojo tu, eti anasema wamasai wameondolewa ngorongoro, kwani wanyaturu hawakuondolewa kupisha mgodi wa shanta mine, mbona hajawambia wagome dhahabu gao kuchotwa! Shenzi kabisa.

Eti katiba mpya ndo suluhu nani kamwambia hiyo ni jeans kuwa inakaribia kutatuka?
 
Huu ujinga danganya wajinga wenzako.
 
Hoja za Tundu Lisu hazijibiki na hakuna wa kuzijibu hasta nyerere na karume wasingejibu!

Hoja za Tundu Lisu ni kufanyia KAZI na kurekebisha uozo was Muungano!!

Na jibu pekee ni Muungano was serikali Moja kama kweli tumeamua kuungana au serikali Tatu kama tumeamua kuuvunja uwe legelege!!

Na kufanya marekebisho hayo siyo serikali ya chama changu CCM Bali serikali nyingine coz huu Muungano ni lango la kushibisha matumbo ya wanasiasa na maslhi makubwa ya watoto wao!!
 
vibaraka na watu wenye mihemko ni hatari sana kuwajumuisha kwenye midahalo yoyote ile, busara ni kuwapuuza kuepusha uharibifu na usumbufu na kutoa fursa kwa wenye dhamana ya kuongoza na kuwatumikia waTanzania wachape kazi vizuri zaidi
Ukizoea kubebwa na vyombo vya dola ukiitwa sehemu isiyo na mbeleko lazima ukae kwa kutulia. Dhalimu magu yeye alijua huyo hamuwezi, Akamtuma Joyce wowowo amtoe roho, nayo ikashindikana. Mara paap mzimu huu hapa.

Lisu kasema wazi kabisa, Zanzibar ina wapiga kua chini ya laki 6, lakina ina wawakilishi zaidi ya 70 kwenye bunge. Jibu ni kwanini, ww unaishia kuleta story za kitoto. Unakwama wapi 🌈?
 
Sidhani kama wananchi wanaangalia hilo, imagine mtu kama Msukuma walimchagua awe mbunge wao.
 
Sema machawa hatuna jibu hivyo tumeamua kukaa kimya
si busara kwa wenye mamlaka na kazi ya kutekeleza ilani ya uchaguzi kubabaika na mercenaries na puppets πŸ’

the trap yourselves, but not the ruling government with duties and responsibilities of transforming the country to the next level of development πŸ’
 
Chadema muombeni Mbowe apumzike, jahazi aachiwe lisu na akina heche abadili hali ya siasa. Mbowe yupo vizuri lkn apumzike kidogo.
 
hakuna swali wala hoja ya kujibiwa kutoka kwa kibaraka mropokaji πŸ’

wenye kazi na majukumu mazito ya kuongoza na kutumikia wanainchi hakuna muda wa kubabaika na visivyo na maana πŸ’
 
Kwako mtu anayekuzidi akili aitwe Puppet?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…