Yataje tuyape za usoKuna mamtu ya Tanganyika, tena yako Sumve 2015 ndani ndani mwa Wilaya ya Kwimba, yanasema eti Lissu apuuzwe.
Kenya na Zanzibar hakuna watu wajinga wa hivyo. Viumbe hao unawapata Tanzania Bara tu.
miongoni mwa tofauti nyingi sana kati ya mtu mwenye elimu na asie na elimu, huwa ni hekima na busara kwenye hoja au maneno anayosema 🐒Hakuna msomi wa nchi anayejitambua na mwenye mapenzi mema na nchi hii naweza kuingia kwenye siasa za CCM.
NJAA ,NJAA ,NJAA NA UKOSEFU WA AJIRA NDIYO CHANZO KIKUU CHA KUSALITI ELIMU.
Ungeonekana mwenye Elimu na aliyeelimika kama ungengia kwenye siasa na uana harakati wa kumkomboa mwananchi na umaskini wa miaka 60 kwa
-kupigania katiba mpya
-Kuondoa urasimu kwenye nchi hii
Otherwise wewe ni Msomi uchwara anayetumia makalio kufikiria (Njaa nyingi)
Amos Makalla atamsambaratisha lissuSalaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka viongozi tena wenye hadhi ya juu kabisa na kumjibu TUNDU Lissu kiujumla jumla tu. Anauliza swali Kwa kunukuu Katiba ya nchi, lakini anajibiwa Kwa kauli nyepesi za kisiasa bila ushahidi wowote au nukuu yoyote kisheria, imekaaje hii?
Jamani, HOJA hujibiwa Kwa HOJA,
Angalau Serikali chini ya AG ingeitisha mdahalo wa wazi, Lissu akaalikwa na HOJA muhimu zikajadiliwa Kwa maslah ya Taifa Kwa uelewa wa umma wa wananchi.
Swali linabaki kuwa, huko serikalini hawapo watu wenye capacity ya kumjibu TUNDU Lissu Kwa HOJA?
Karibuni🙏
Pedeshee haezi, labda Tulia, Mwalimu wa Lissu katika Sheria.Amos Makalla atamsambaratisha lissu
Sasa Tulia ndio hamna kitu kabisa !Pedeshee haezi, labda Tulia, Mwalimu wa Lissu katika Sheria.
Sasa Toka lini mwanafunzi akawa na Maarifa kuliko mwalimu wake?Sasa Tulia ndio hamna kitu kabisa !
Tulia hana na wala hajawahi kuwa na lolote , ukitaka kujua ni mweupe kama ndevu za Babu muulize kwanini Halima Mdee ni MbungeSasa Toka lini mwanafunzi akawa na Maarifa kuliko mwalimu wake?
Anyway,
Nibaki kuamini kuwa,
Nje ya mfumo wa CCM, Tulia anaweza kulisaidia Taifa vizuri kuliko akiwa ndani ya mfumo.
Kwa HOJA hiyo,Tulia hana na wala hajawahi kuwa na lolote , ukitaka kujua ni mweupe kama ndevu za Babu muulize kwanini Halima Mdee ni Mbunge
Tulia ndo kitu gani??ni kweli muungano una changamoto kibao na mambo mengi ambayo hayana uwiano sawa.kwa mfano hilo la wapiga kura wa majimbo ya zanzibar na hapa Tanganyika ni kweli SIO SAWA.Tunataka maelezo na majibu ya serikali.pia turudi mezani kuusuka upya huu muungano otherwise kuna siku utavunjika tu na hio siku haiko mbaliPedeshee haezi, labda Tulia, Mwalimu wa Lissu katika Sheria.
Jibu la hili swali ni jepesi sana.Swali linabaki kuwa, huko serikalini hawapo watu wenye capacity ya kumjibu TUNDU Lissu Kwa HOJA?
Mkuu Tlaatlaah Ngoja Nikusaidie maana huwezi kupata Unachotafuta kwa sababu..sasa ndungu yangu DR Mambo Jambo mimi tena nianze kutafuta kumbukumbu za ziara za waziri mkuu hali ya kua sina tatizo nazo na wala sina haja nazo 🐒
but anyway ngoja tuone naweza kipi kwenye hilo 🐒
Wewe jamaa vp,yaani aalikwe LISU ili nani abebe hiyo aibu itakayofuata?Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka viongozi tena wenye hadhi ya juu kabisa na kumjibu TUNDU Lissu kiujumla jumla tu. Anauliza swali Kwa kunukuu Katiba ya nchi, lakini anajibiwa Kwa kauli nyepesi za kisiasa bila ushahidi wowote au nukuu yoyote kisheria, imekaaje hii?
Jamani, HOJA hujibiwa Kwa HOJA,
Angalau Serikali chini ya AG ingeitisha mdahalo wa wazi, Lissu akaalikwa na HOJA muhimu zikajadiliwa Kwa maslah ya Taifa Kwa uelewa wa umma wa wananchi.
Swali linabaki kuwa, huko serikalini hawapo watu wenye capacity ya kumjibu TUNDU Lissu Kwa HOJA?
Karibuni🙏
CCM wajibu hoja za Lissu.Salaam, Shalom.

CCM ya sasa imebakiwa na magarasa matupu, haina watu wanaojua siasa wala wanaoijua katiba ya nchi, wao wanauwezo wa kujibu kibabe!Salaam, Shalom.
Ni wiki sasa, Mwanasheria msomi Tundu Lissu ametoa HOJA nzito kuhusiana na Muungano wetu, bandari, na anatoa HOJA Kwa kutumia Katiba ya nchi iliyopo.
Cha kushangaza wanaibuka viongozi tena wenye hadhi ya juu kabisa na kumjibu TUNDU Lissu kiujumla jumla tu. Anauliza swali Kwa kunukuu Katiba ya nchi, lakini anajibiwa Kwa kauli nyepesi za kisiasa bila ushahidi wowote au nukuu yoyote kisheria, imekaaje hii?
Jamani, HOJA hujibiwa Kwa HOJA,
Angalau Serikali chini ya AG ingeitisha mdahalo wa wazi, Lissu akaalikwa na HOJA muhimu zikajadiliwa Kwa maslah ya Taifa Kwa uelewa wa umma wa wananchi.
Swali linabaki kuwa, huko serikalini hawapo watu wenye capacity ya kumjibu TUNDU Lissu Kwa HOJA?
Karibuni🙏
Ameongea kama yeye, chawa wa kienyejiUmeongea kama layman,
Samahani lakini.
Kumpuuza nalo ni jibu tosha, kwani hayo kaanza kuyaongea leo?
busara ni kumpuuza tu kama ilivyo sasa
Muungano hata kama ulionekana unafaa enzi hizo sasa imepitwa na wakati. Kumbuka USSR wakatii hua ila baadaye ilibidi isambaratike. Muungano huu jinsi ulivyo lazima utasambaratikaUkisoma vizuri mkataba wa Muungano utaona kuwa Waziri Mkuu ndiye Msaidizi wa Rais wa Muungano kwa masuala yote yasiyo ya Muungano kwa upande wa Tanganyika na Rais wa Zanzibar ndiye Msaidizi wa Rais wa Muungano kwa masuala yote yasiyo ya muungano kwa upande wa Zanzibar. Kama ilivyo Rais wa Zanzibar hana
mamlaka huku bara vile vile Waziri Mkuu hana mamlaka yeyote kule Zanzibar
Mkataba wa Muungano ndio rejea pekee la masuala ya muungano. Articles of the Union zimeanzisha Mamlaka 3, Mambo ya Muungano chini ya Rais wa Muungano, mambo yasiyo ya Muungano kwa Tanganyika chini ya msaidizi mkuu
wa Rais wa JMT ambaye 1964 alikuwa makamu wa pili wa Rais...
na mwisho ni mambo yasiyo ya muungano kwa Zanzibar ambaye ni msaidizi mkuu wa Rais wa JMT ambaye 1964 alikuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa kwanza wa Rais. Waziri Mkuu wa Tanzania ndiye huyo makamu wa pili wa 1964.
Baadaye Ndo kikafutwa Cheo cha Makamu wa Pili wa Muungano Kikaanzishwa Cheo cha Waziri Mkuu na kikaanza kutiliwa Mkazo...
Muungano wa Nyerere, una makandokando ya kutosha kwenye muunfo wake! Yakihojiwa hayajibiki kimantiki Bali Kwa blabla tu...Salaam, Shalom.