Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Siamini kama AG hawezi kumjibu Lissu,

Labda Yuko bussy na majukumu.

Kujibu anaweza lakini litakuwa ni jibu lenye mantiki? Lakini pia ufahamu kuwa ndani ya Serikali wapo wenye akili na wanaojua utata wa Muungano, lakini wanalazimika kunyamaza kutokana na zile fikra za uwajibikaji wa pamoja ndani ya Serikali.

Kila mwenye akili timamu anafahamu kuwa Muungano wetu umrkaa chongo.
 
... Hili lipo wazi, ila mpaka Watanganyika tuamke!
 
Takataka
 
Hakuna Anayeweza Kujibu Wote Wanaongea Kama Kuku Waliokatwa Vichwa
 
Lissu anaropoka. Kuna busara ya kumjibu mropokaji?
 
CCM wanamtegemea Lucy Mwashambwa amjibu Tundu Lissu
 
Huko Serikalini hakuna mwenye uthubutu na hoja za kumjibu Tundu Lisu.Wote wapo kwenye 'mradi wa hovyo' wa kumsifu huyo anayeitwa mama.Wengi ni wanafiki ili kulinda mkate wao.
 
Huo mdahalo utaivua nguo Serikali nzima.Sioni kichwa hata kimoja cha kumjibu Tundu Lisu.Watakuja na 'mipasho' na ngonjera za kumsifia mama yao.
 
Sasa wewe ndo umendika nini , elewa Muungano uwepo ila Tanganyika ya watu iludi kama sivyo Zanzibar ife pia tuwe na serikali moja
 
this very able government under very able leader Comrade Dr Samia Suluhu Hassan, can never ever walk into mercenaries and puppets traps. I can confirm to you publics, without fear of contradictions πŸ’

kama kuna mwanasiasa kutoka chama tawala amesema chochote, basi hiyo ni kwa kupenda kwake tu.

Lakini kwa ujumla chama na Serikali ina jukumu kubwa, zito na muhimu sana la kuwatumikia wananchi, kuliko kubabaika na vibaraka ambao wako under full control under security outhority, that they have no place to hide, not escape root and they have nothing to do and place to go as we are approaching elections this yr and next year πŸ’
 
naona umerudia tu nilichokujibu kwa kifupi sana kwenye first reply yangu dhidi maswali yako ya mawili madogo ya msingi .....

hapa umefafanua majibu yangu kwa upana kidogo, meaning kwamba ulivyokua unauliza tayari ulikua na majibu yako ambayo ni sahihi na ni sawa na nilichokujibu πŸ’

by the way enjoy workers day holiday πŸ’
 
Ila umeandika upuuzi sana
 
kwa kadri ccm wanavyompuuza basi watanzania wengi wanamwelewa mwamba Lissu
baki na maoni na mtazamo wako mwenyewe lakini athari za ubaguzi zitabainika kwenye debe kwa wakati muafaka πŸ’

roho ya ubaguzi wa aina yoyote ile, haijawahi kumwacha mtu salama πŸ’

by the way, leo ni May Mosi.
Nakutakia siku njema ya wafanyikazi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…