Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Nanukuu.Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango π€
Hahaha ππ€£πππBaba alinikuta nikipiga nyeto nikiwa Na miezi sita tangu nimezaliwa, akaniambia daima ntakuwa napiga nyeto tuu na sitopata mwanamke, hatimaye kweli mpaka sasa nna miaka 35 na sijawahi kusex na mwanamke yeyote bali ni punyeto tuu
Nanukuu.
""'HIVI VITU VYOTE MNAVYO VIONA NI VYA KWANGU NA NYINYI NAWAWEZESHA MTAFUTE VYENU"""
Tangu wakati huo watoto wote wa mzee hatuku angalii mali za nyumbani kila mtu ana / ame pambana kutafuta vyake.
Kila mwaka Christmas kwetu ilikua ni ya kipekee kabisa kabisa wengi hawawezi kusheherekea kama nyumbani kwetu. Ntafafanua badaee
Nipo busy na kazi hapa ntaandika baadae nikipunguza Majukumu
Hoja ipo ndugu.Huna hoja unataka tu ubishani
Mzee mmoja askari jwtz mstaafu alinambia.Usiwe na mazoea ya kwenda kazini kumtembelea mkeo, nakujuwa mwanangu ulivyo na hasira, kwani unaweza kwenda huko ukakuta kapakatwa na mtu mwingine akakuambia walikuwa wanataniana tu.
Wiki mbili kabla ya kifo chake,
"Familia yetu ni kila kitu, ilinde na jenga himaya yako kwa kuikumbuka na kuilinda familia.
Ali zungumzia familia yetu, sio yangu maana sikuwa nayo.After ten years, Ukajiunga na Kataa Ndoa.
Nini kilitokea?
Ali zungumzia familia yetu, sio yangu maana sikuwa nayo.
Sasa wewe kaza kichwa Sasa na Uzamani wako "nyankundo" kabisaHoja ipo ndugu.
Ukisema baba au mama hakuna maswali mengine,lkn ukisema mzee wako hapo wengine hasa sisi wa zamani kidogo tunajua kama nilivyosema. Pia hata bibi mkubwa hiyo haimaanishi mama bali ni mke mkubwa.
Inasikitisha sana mkuuHahaha ππ€£πππ
Usha Anza kuleta ujuaji wa kiduwanzi, ali zungumza hivyo coz ali kuwa na maana kubwa sana.Sawa.
Familia ni Ile umeanzisha wewe.
Hiyo ya mzee haiwezi kuwa familia Yenu.
Mie aliniambia " pole sana mwanangu kwa kuzazila mkunduniz mwa dunia"Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango π€
Usha Anza kuleta ujuaji wa kiduwanzi, ali zungumza hivyo coz ali kuwa na maana kubwa sana.
huwezi elewa, bila ya kuelewa.
tuishie hapa mkuu, maana naona una leta u ai.Sawasawa!
Ila familia ni moja. Ile uliyoianzisha.
Hayo mengine yaendelee ila ukweli huo hautabadilika
tuishie hapa mkuu, maana naona una leta u ai.
Nyeto ni plan B mapenzi halafu ni bei cheeInasikitisha sana mkuu