Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

Kwanza sikweli kwamba wazungu hawana rasilimali.

Wazungu wana rasilimali vilevile na wamezitumia vilivyo kuwaletea maendeleo.

Unaposema kwamba, waafrika wamebarikiwa kila kitu Halafu ndio wanao ongoza kwa Umaskini, na kuwa
omba omba nashindwa kuku elewa.

Naku uliza hivi [emoji116]

Waafrika wana shindwaje kutumia rasilimali hizo kuwa letea maendeleo mpaka waombe mikopo na misaada ya hao hao wazungu?

Nakwambia tena hivi [emoji116]

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Sawa endelea kujivunia upumbavu
 
Kama wanataka hela ya kutolea basi waje nyumbani kuifata hela kamili, Tusiwanufaishe maboss wa Tigopesa na M-pesa tusiowajua
Pascal Mayalla hivii huko halmashauri kuuu comment kama hizi mnakuwaga mna discuss future za watoto wenu kweli? au huwa mnaangalia future ya mtoto mmoja huyo mlionae bila kujua kwamba mtakuja kuwa na wajukuuu
 
Bora maisha ya Mwafrika zama za ukoloni kuliko baada ya uhuru.
Uhakika wa ajira,kujiajiri,uhakika wa soko la mazao, elimu, matibabu,kwenda Ulaya ulikuwepo
Hakuna ubora wowote. China ya ukoloni tabaka mweusi lilikuwa mkulima, kazi za mikono.

Juu walikuwa Wazungu, halafu, wahindi, waarabu.

Elimu waliyoipata wachache asilimia wengi illishia darasa la nne. Wachache watoto wa machifu, viongozi walipata fursa kufika vyuoni.

Afya, miundombinu, ajira ilikuwa hovyo kwa wengi. Ubaguzi ulishamiri Oysterbay, Kulikuwa kwa wazungu tu.

Afrika inabidi ijitambue isitake kuondoa ukweli kuhusu ukoloni, ukoloni mamboleo, utumwa wowote hauna Afya, faida kwa Afrika.
 
Huo ni ushahidi kuwa Umaskini wa mwafrika ni WA kutengeneza.

Sisi TUMEBARIKIWA, maadui wanaotumia ndugu zetu kutuhujumu Kwa kutumia mbinu mbalimbali, mikopo, mitaala mibovu, sera nk nk. Kutufanya maskini.

Tuamke.
 
LAANA ni wewe binafsi Kwa kukiri kulaaniwa!!

Tanzania ni BARAKA,

Afrika imebarikiwa na ni Baraka Kwa Dunia nzima.
 
Hujui kuwa hata Maji ya ziwa Victoria kuyapeleka Dodoma, Nchi ilipitia upinzani usionwa kawaida?

Lowassa alipambana vilivyo, nyuma ya Umaskini wa Africa wapo wabaya wetu, wao wanajiita washindani au wabia wa maendeleo.
 
Sawa endelea kujivunia upumbavu
Kama wewe ni mpumbavu endelea kujivunia upumbavu,wewe kuzaliwa mweusi haimanishi kuwa umelaaniwa.Na ndiyo maana mnalilia DP World ambayo asili yake ni Waarabu watu weupe kuja kutawala bandari zenu kwa sababu ya ujinga huu huu wa kujidharau pumbavu.
 
LAANA ni wewe binafsi Kwa kukiri kulaaniwa!!

Tanzania ni BARAKA,

Afrika imebarikiwa na ni Baraka Kwa Dunia nzima.
Kusema kwamba Tanzania ni baraka wala hakubadilishi Uhalisia ulivyo.

Naku uliza hivi [emoji116]

Tanzania yenye baraka, Inashindwaje kutumia rasilimali zilizopo kuleta maendeleo kwa Taifa?

Badala yake Tanzania ina Raia wengi maskini na walala hoi,

Viongozi wa Tanzania ni ombaomba wa misaada na mikopo kutoka kwa wazungu?

Unakwepa uhalisia ulivyo, kwa kujifariji na uongo?

Kama Tanzania ni baraka, leo hii isingekuwa ombaomba wa misaada na mikopo kutoka kwa wazungu.

Nakwambia tena hivi [emoji116]

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Kama wewe ni mpumbavu endelea kujivunia upumbavu,wewe kuzaliwa mweusi haimanishi kuwa umelaaniwa.Na ndiyo maana mnalilia DP World ambayo asili yake ni Waarabu watu weupe kuja kutawala bandari zenu kwa sababu ya ujinga huu huu wa kujidharau pumbavu.
Sema unachoweza sema ila uafrika mpaka sasa ni upumbavu
 
Hujui kuwa hata Maji ya ziwa Victoria kuyapeleka Dodoma, Nchi ilipitia upinzani usionwa kawaida?

Lowassa alipambana vilivyo, nyuma ya Umaskini wa Africa wapo wabaya wetu, wao wanajiita washindani au wabia wa maendeleo.
Hao wabaya ni kina nani?

Si ni Waafrika wenyewe kwa wenyewe walio walafi, wachumia matumbo na wala rushwa.

Ngozi nyeusi ina laana ya milele.
 
Huo ni ushahidi kuwa Umaskini wa meamfika ni WA kutengeneza.

Sisi tumebarikiwa, maadui wanaotumia ndugu zetu kutuhujumu Kwa kutumia mbinu mbalimbali, mikopo, mitaala mibovu, sera nk nk.

Ukiwa mnyonge duniani utakamuliwa hadi ufe. Survival of fittest, ni jungle, na law of jungle inawala. swala ataliwa siku zote na Simba. Muhimu kujiongeza kama Mchina, Mwarabu, Mzungu, mhindi. Wanajitambua zaidi ya Mwafrika wana umoja zaidi ndio nguvu yao.

Ila huku wanatumia majeshi, UN, ndugu zetu, kuua viongozi waaminifu, mikataba ya hovyo, rushwa, vikwazo vya kiuchumi kuziangamiza na kudhoofisha nzi zisizokubaliana na wao hasa ukiwa na assets nyingi.

Waarabu walijiongezea maeneo mengi Afrika magharibi Misri, Algeria, Morocco, Libya, Mauritania kutumia mapanga, jambia, dini uuaji mkubwa sasa hivi ni majority.

Wazungu vivyo hivyo bunduki, dini Kuchukua North, South and Central America Afrika, Asia.

Walikuwa wanafikiria vizazi vyao miaka 500, elfu ijao kuishi kwenye jangwa, baridi wangetoweka.

Sisi tunafikiria nini?
 
Mikataba yenye maslahi kwa wote ndio hii ya project contracts iliyomaliza kuandaliwa ili biashara iweze kuanza mwezi Oktoba mwishoni.

TICTS walikuwa pale bandarini kwa miaka 22, mimi na wewe tulishiriki vipi kutetea kulindwa kwa maslahi yetu kwenye hiyo mikataba iliyoongoza biashara?. Huyu ni mpangishaji tu wa pale bandarini wala haina sababu ya kumuogopa kama ambavyo wasomi wetu wote wanakuwa waoga.

Imeshapita mikataba mingi sana nchi hii na kila siku ipo mipya inayoongoza biashara mbalimbali na utekelezaji wa miradi mingi.
 

Ujenzi wa Bwawa la mwalimu Nyerere,

Magu alipitia upinzani mkubwa Kutoka hao unaowaona matajiri, Hata World bank walimnyima mkopo Hadi akalazimika kwenda kukopa pesa bank za kibiashara Kwa riba kubwa.

Ujue kujitutumua Ili tufanye yetu, upinzani tutapata Kutoka waliotutangulia kimaendeleo.

Bwawa halijakamikika, wameshakuja DPp world kuzitaka bandari zetu, SGR, na bwawa likiwemo Ili tuendelee kuwaombaomba,

Nyuma ya DPp world yupo Marekani na west.

Uafrika ni BARAKA, wageni wanatamani utajiri wetu ndo sababu wanaleta Kila aina ya UOVU tufarakane.
 
Umehongwa au huna akili?
 
Ni HAMNAZO au umehongwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…