sauti nzito
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 171
- 234
- Thread starter
-
- #281
Yani umesema vyema🤣🤣, pia kuna zile spika za misikiti wanachoongea huko ndani unasikia kama wapo sitting room kwako🤣🤣.. Haya mambo yanatakiwa kubadilika hayatupi utakatofu wowoteKama ni mabasi ya watu binafsi na hakuna anayeshikiwa mtutu wa bunduki kulazimisha kupanda haupaswi kulalamika, pengine konda huomba abiria mmoja asali kabla basi halijaanza safari. Haya mambo utata ni pale imani za watu zinawaaminisha kuwa gospels zinawapa kinga, wengine utaona mbele awening'iniza rozali au tasbihi na yote hayo ni mambo ya imani.
Kwangu mimi kero kubwa ni speakers kubwa zinazokera mitaani, hazana na kengele za kanisa kwani huwasumbua watu wanaoishi karibu na makanisa/misikiti ilhani mtu yuko nyumbani kwake.
Angalau huyo unaweza kumwambia anaelewa🤣, wale makondakta wa mabasi ni zero kabisa hawaelewi ukimwambia anakuchonganishia na abiria ambae ni mchungaji🤣🤣..mnaanza kugombana abiriaMilugaluga hio mipumbavu sana. ulokole mavi kila sehemu, na kuna wale wanapanda basi likisimama na bibilia na kuanza kupiga makekele
eKama ni mabasi ya watu binafsi na hakuna anayeshikiwa mtutu wa bunduki kulazimisha kupanda haupaswi kulalamika, pengine konda huomba abiria mmoja asali kabla basi halijaanza safari. Haya mambo utata ni pale imani za watu zinawaaminisha kuwa gospels zinawapa kinga, wengine utaona mbele awening'iniza rozali au tasbihi na yote hayo ni mambo ya imani.
Kwangu mimi kero kubwa ni speakers kubwa zinazokera mitaani, hazana na kengele za kanisa kwani huwasumbua watu wanaoishi karibu na makanisa/misikiti ilhani mtu yuko nyumbani kwake.
🤣🤣tupe maoni yako sasa, nini kifanyike??Kama taarabu hata kama nimekata tiketi naweza itelekeza nikashuka hata porini
Unajichekesha chekesha kama malaya kaona bia🖕🖕🖕🖕
🤣kwanini unalazimisha tuvumilie??
Unataka maoni , huku watu wakitoa maoni unatoka shombo la mdomo mchafu ,hivi una akili timamu kweli wewe?🤣🤣tupe maoni yako sasa, nini kifanyike??
Unajua kuna ya jumla yanavumilika kidogo, dhambi nyingi nzuri kuzifanya usionekane tu hadharani🤣🤣..Ila hapo hapo kuna wngn wanapenda.
Ndo ujue hakuna chcht kitakachokuwa Sawa kwa kila mtu.
Mama yako si anakunywa bia?🤣🚮 msalimieUnajichekesha chekesha kama malaya kaona bia🖕
Tunakupokea unavokuja😎😎Unataka maoni , huku watu wakitoa maoni unatoka shombo la mdomo mchafu ,hivi una akili timamu kweli wewe?
Tunakupokea unavokuja😎😎
waandike kwenye matangazo na kabla ya kukata ticket wakwambie kabisa huko ndani ni Mwamposa mwanzo mwisho uamue unapanda au hupandi😊😊Kuna basi zinaplay video za mwamposa mwanzo wa safari mpaka mwisho mpaka unaweza omba urudishiwe nauli
Injili si kwa wakristo tu.Yesu anawaalika watu wote wenye kulemewa na mizigo waende kwake Naye atawapumzisha.Yesu hakuwa na dini yeye alitaka aaminiwe kuwa ni Bwana aliyekuja kuwakomboa watu was dini zoteKuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Kama maza ako atavopigwa dole hilo na dingi yako leo usiku kabla hajalala, dingi huwa analinusa dole kisirisiri muulize harufu yake ni ya vanila au strawberry🤣🤣🤣
umesema vema familia, ila tuombwe ridhaa ya kusikiliza tusilazimishiwe kwenye huduma ya umma😊😊Injili si kwa wakristo tu.Yesu anawaalika watu wote wenye kulemewa na mizigo waende kwake Naye atawapumzisha.Yesu hakuwa na dini yeye alitaka aaminiwe kuwa ni Bwana aliyekuja kuwakomboa watu was dini zote
Hatukuzuii, iandikwe tahadhari na tukumbushwe wakati yule dada anatoa taarifa ya kuanza safari au kabla hatujapanda ili mpande wapenda kelele msisumbuliwe na ukimya😎😎Muwe mnasafiri na miziki yenu, hamlazimishwi kusikiliza miziki mnaoikuta imewekwa. Mnakera sana, mara ooh punguza sauti, sie wengine tunapenda miziki hiyo, tena kwa sauti kubwa!
Mshamba wewe , I'd ya toka 2014 ila haujitambui tu , ona unavyojichekesha kama malaya🚮Kaka maz
Kama maza ako atavopigwa dole hilo na dingi yako leo usiku kabla hajalala, dingi huwa analinusa dole kisirisiri muulize harufu yake ni ya vanila au strawberry🤣🤣🤣
changia hoja acha matusi kuna raia wamevurugwa huku utatukanwa na wewe hadi ukimuona mzazi wako unaona uchi wake ulivolegea😎😎
Aambiwe kabla hajakata ticket au kabla hajapanda🤣🤣, ashushe kisukari kabisa akiingia atulieKuna mmbaba mmoja alikuwa amevalia kiislam, tuko kwenye basi akaamuru konda azime tv, alionesha kukerwa na miziki ya kidunia ya kina diamond, zuchu, marioo, ally kiba, rayvanny, jux, mbosso, aslay, harmonize na wengine wengi wa bongo fleva huku sie wengine tukifurahia miziki hiyo safarini. Abiria mmoja hawezi kuzuia wengine wasiendelee kuburudika safarini ndani ya basi. Ni bora alale tu kuliko kukera abiria wenzake wanaofurahia miziki hiyo ndani ya basi
Tulia ignore , mshamba mshamba kama wewe unajichekesha chekesha kama punga napoteza mda wangu kukujibu🚮Kaka maz
Kama maza ako atavopigwa dole hilo na dingi yako leo usiku kabla hajalala, dingi huwa analinusa dole kisirisiri muulize harufu yake ni ya vanila au strawberry🤣🤣🤣
changia hoja acha matusi kuna raia wamevurugwa huku utatukanwa na wewe hadi ukimuona mzazi wako unaona uchi wake ulivolegea😎😎
Mshamba wewe , I'd ya toka 2014 ila haujitambui tu , ona unavyojichekesha kama malaya