Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

Huu
Huu ni uongo, mkeka wa milioni 45 wanakupaje cashout 2.5M afu imebaki timu moja umeweka over 0.5 ambayo hata odds ukiwa kubwa sana haizidi 1.5

Au kuna typing error?
 
Kuna wakati mrusi nae anapasuka sana tu sema betting ni timing tu
 

Attachments

  • Screenshot_20221021-094643_1xBet.jpg
    95.9 KB · Views: 34
Hivi michezo ya kubashiri inaweza kutumika kama njia ya kujikwamua kiuchumi? Vipi kuhusu uraibu (addictions) faida na hasara kwa vijana, watoto na jamii kwa ujumla?
 
Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwaiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale.

Mchezo uliisha 3 - 3!

Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
Ni huzuni kwakweli
 
Kwenye maisha usidharau wanachofanya wenzio hata kama ww hauoni thamani yake, watu wanaendesha maisha through betting
Mkuu, wewe unaona ni sawa? Hivi unaamini kabisa kuwa hao wenye makampuni ya betting wana mahela mengi na wanatafuta watu wa kuwagawia? Yaani unatoa buku unapewa milioni!

Ndio maana inasemwa betting is a mental disorder, tafiti zimethibitisha hivyo na wengine wanaingia madeni makubwa kwa sababu ya betting na huishia kujiua.

Vv
 
Sio kwamba wenye makampuni Wana mihela mingi Bali hii ni biashara kama biashara zingine, kwenye biashara hiyo hiyo Kuna mwingine atafanikiwa na mwingine ata lose, ukiifanya kwa weredi betting faida yake ni zaidi ya mfanyakazi mfano Kuna mtu yeye kila siku kaweka malengo ya kupata faida ya laki kwenye betting, hao wanaotumia buku kupata million ndio hao ambao wanamfaidisha muhindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…