Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Na kwa nini watu wafe kizembe kwa kukosa huduma za msingi za afya?Usikwepeshe hoja.Iwe kupotea kwa watu,kodi za hovyo,kuuwawa watu,kuporwa mali na kuharibiwa,kukosa huduma nk,yote ni sababu ya CCM dhaifu.
 
Apumzike tu...nchi ilipoteza Uhuru wake maana hata viongozi wa dini wanaoliombea dua taifa wanaotumika kuwatuliza watu kwa maneno na vitengo walikosa thamani, kila kukicha walaka kumuhusu haya mambo hayakuerpo kabla.
vipi pale serengeti viongozi wa dini wanapata thamani au sio!!!!

acheni uchawa hautawasaidia.
 
Acha mihemuko jenga hoja
 
Na kwa nini watu wafe kizembe kwa kukosa huduma za msingi za afya?Usikwepeshe hoja.Iwe kupotea kwa watu,kodi za hovyo,kuuwawa watu,kuporwa mali na kuharibiwa,kukosa huduma nk,yote ni sababu ya CCM dhaifu.
sasa kiherehere cha kumparamia jpm peke yake ni sababu alikuulia mume au???

hata huyo mumeo saanane alisahau adui yakeni yupi akaanza kumsakama mtu kama mtu,akakutana na kitu kizito.
 
Hapo kwa mwenye kuamua nani aishi nani asihishi unaweza kuhibitisha pasi na shakha kuwa alikuwa alifanya hivo?
 
Na kwa nini watu wafe kizembe kwa kukosa huduma za msingi za afya?Usikwepeshe hoja.Iwe kupotea kwa watu,kodi za hovyo,kuuwawa watu,kuporwa mali na kuharibiwa,kukosa huduma nk,yote ni sababu ya CCM dhaifu.
sasa kiherehere cha kumparamia jpm peke yake ni sababu alikuulia mume au???

hata huyo mumeo saanane alisahau adui yakeni yupi akaanza kumsakama mtu kama mtu,akakutana na kitu kizito.
 
Sasa mwandiko una kelele?Hebu kuwa na akili unapoeleza jambo.Acha mazoea.Mwisho utaandika unasikia harufu ya ushuzi inatokea JF.πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
mwandiko una kelele ndio maana una alama kiazi weww,ukiuzwa huwezi jua kama hili ni swali kisa husikii sauti????
Mimi mtawa sina mke.Jiwe atasakamwa hadi mlie.Kuku ninyi!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
sisi tulilia siku amekufa,nyinyi mtashikwa na uchungu mpaka mnaingia ardhini maama mimba aliyowaachia ni kubwa mno.
 
mwandiko una kelele ndio maana una alama kiazi weww,ukiuzwa huwezi jua kama hili ni swali kisa husikii sauti????

sisi tulilia siku amekufa,nyinyi mtashikwa na uchungu mpaka mnaingia ardhini maama mimba aliyowaachia ni kubwa mno.
Hebu kajizike kando ya shimo alilohifadhiwa tuone uchungu wako.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
unatoa kejeli kwa azory na saanane kwa kuwa tu si ndugu zako wa damu
huduma za afya kama ulivyo sema ni kama hakuna, hasa vijijini
 
Katika kipindi cha Mwaka mmoja na miezi michache nchi yetu inashuhudia utawala unaolinda Viongozi mafisadi, wafanyabiashara wakubwa na watumishi chawa na kutojali haki na heshima za raia wa hali ya chini kama kiini na chachu ya maendeleo kupitia makusanyo ya kodi na tozo za kinyonyaji.

Watanzania wote wasio viongozi,wafanyabiashara wakubwa watumishi wenye nyadhifa za juu serikalini wamekatwa mkia na kuwa hawana tofauti na wakimbizi nchini.

Mustakabali wote wa mipango, maendeleo na matumizi ya nchi yako kwa kikundi cha watu wachache "Oligarchs" ambao ni wanasiasa wa CCM na wafanyabiashara wakubwa tokana na fedha wanazokwapua toka kwa raia kupitia kodi na tozo za kinyonyaji pamoja na kuuza rasilimali za taifa.

Tunatumaini ipo siku yatakwisha haya ila hatuna hakika tutakuwa katika hali gani hio siku ambayo haya yatafikia tamati. Tumerudi nyuma kihatua kwa 99% toka ambako tulikuwa tunaelekea kimaendeleo na utunzaji wa rasilimali za taifa.

Zile zama za shamba la bibi zimerejea kwa kasi kubwa na sasa yote yanafanyika bila vazi la uwoga wala aibu mbele ya raia. Maisha yanapanda kwa kasi ya ajabu, tozo lukuki, kila kitu bei juu. Miradi haiendelezwi, ni udokozi unafanyika bila soni watu wanalambishana asali huku wananchi hawaelewi hatma yao ya kesho.

Mamlaka zimejipanga kunyonya raia kwa kisingizio kuwa ni kuleta maendeleo ambayo ni kiini macho. Maendeleo hayo hayo ambayo yanakopewa hela kwa matrillion ndio hayo hayo yanayokusanyiwa tozo. Msimamizi yupo ila hatuoni hatua za kiuongozi anazochukua.

Sina budi kusema tuliingia choo cha kike kwenda kinyume na ukuu wa Mungu kwa kujifanya tuna akili sana. Mama kazi yake halisi ni kuzaa, kulea na kusimamia nyumba sio majukumu mazito ambayo tumemtwisha. Kwa upande wa mafisadi na ma chawa kwao awamu hii ni bora kuliko iliopita ila raia wa hali ya chini ni msiba usio na wafariji.

Tusijizime data, hio kazi na uchawa unaoringa nao baada ya miaka 5-10 watoto wako hawatafaidika nao kwa lolote lile. System inazidi kuoza kwa comfort ya muda mfupi.
 
Athati ya majaribio ya kuvuta bangi, imekuharibu tayari. Pole kinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…