Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

Sukuma gang kazini
 
Sasa Zitto kupata fursa ya kuwashauri kuhusu maziko yenu wapenzi wa jiwe ndiyo mumnunie?Siyo haki!Ameoata fursa kaitumia.Siyo fulusa wala furusadi!
sisi wafuasi wa jiwe tuna akili,sio watu wa kufuata kila ushauri maana wengine tunawajua.
 
Aliyesema ule msemo wa "Don't underestimate the power of stupid people in groups" nafikiri alikuwa na maana sana.
I can relate with the current regime chawaz
Jenga hoja mkuu, hoja hujibiwa na hoja si vihoja
 
Kama wenzangu walivyosema, mwenye enzi Mungu alituamulia ugomvi huu, je kuna haja ya kuendelea kutetea ujinga huo mwingi uliopita? Tumuombe Mungu atuvushe na atupe mapito na mwisho mwema. Asanteni
Tuwaondoe na wale wapuuzi wote kule bungeni, yaani tuvunje tuanze upya ila Kwa namna ilivyo pale kumejaa vilaza tupu wanaowaza uchaguzi Mkuu tu
 
kwa hiyo mnagoma kujizika kwa sababu bado hamjaonja asali?Tangu uhuru wa nchi mlikuwa wapi?Acheni ulafi,kufeni!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
hilo la kuonja asali hatuna tatizo nalo,ila hili la kumsakama mwamba wetu,ndio litafanya hata hizo asali mzitapike hata kwa matundu ya nyuma.

mmeamua kula asali kuleni wacheni kelele mtapaliwa,inaua hiyo.
 
Tuwaondoe na wale wapuuzi wote kule bungeni, yaani tuvunje tuanze upya ila Kwa namna ilivyo pale kumejaa vilaza tupu wanaowaza uchaguzi Mkuu tu
inabidi muendelee kumuomba Mungu aue bunge zima,au hawezi kuua watu wengiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyo huyo wala haujakosea! Huyo aliyepora pesa za mafisadi akajenga Tanzanite bridge ili watanzania ambao wengi ni masikini wapite! Huyohuyo aliyekopa kimya kimya bila kusumbua wananchi habari za tozo za kipuuzi! Huyohuyo aliyesweka ndani wapinzani uchwara waliosimama barabarani kuzuia grader lisitengeneze barabara watu wanufaike na maendeleo! Huyohuyo aliyezuia utoroshaji wa madini na kuongeza mapato ya ndani! Huyuhuyo aliyedhibiti uzembe na ufisadi serikalini!
Huyohuyo wala haujakosea!

Anaitwa Mwamba wa Afrika/Shujaa wa Karne !
 
Tuwaondoe na wale wapuuzi wote kule bungeni, yaani tuvunje tuanze upya ila Kwa namna ilivyo pale kumejaa vilaza tupu wanaowaza uchaguzi Mkuu tu
iko dhahiri sana, uwakilishi wa wananchi una dosari kubwa ni matokeo ya kukandamizwa kwa demokrasia, tuna wabunge waliochaguliwa na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi, kazi yao ni kulia na kupiga sarakasi bungeni na hayo ma covid 19
 
Dhuluma haijawahi kuliweka taifa lolote salama pamoja na mdhulumaji, yuko wapi huyo mdhulumaji mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…