Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Kumekuchaaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usafi ni muhimu mnooo.
 
Basi ipo ile nyingine, Choo zile za kushare ofisini, si unajua chini pako wazi , sasa mwenzetu wa upande ule mkijikuta mpo pamoja, tête-à-tête huku wewe huku, ukutazama miguu ya mwenzio haionekani, kumbe kapanda juu ya sinki kachuchumaa, ati aogopa kuchafua takooooo
 
Hayo hata kwa mwanamke pia, Si mwanamme tu.

Mijanajike na mijana dume mingi haielewi usafi huo, wao ni kukojoa kwa kusimama tu na hawajioshi kabisa kwa maji, si wanawake wala wanaume. Hawana ustaarabu huo. Wana ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji28] mbona haya mambo ni ya kishoga kabisa, mwanaume na hayo mambo wapi wapi...?!?! Astaghfirullah
Ushoga unahusu nn na kukojoa kwa kuchuchumaa? Umechanganyikiwa au? [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hicho ni shoga kinatawza kule kwa shoga kusingizi kuosha mkwaju. Wasitufundishe ushoga. pia ukikojoa umekaa kk vyoo vya kukalia utaokota UTI kupita maelezo. Utaishia kuchomwa pawa sefu kila kukicha. Mpaka zile za kukojolea za wanaume inabidi uwe mwangalifu hasa kwa zile zilizofungwa juu sana mpaka kulengesha kuelekea juu( projectile). SIJUI TBS IKO WAP JUU YA MAELEKEZ YA KUFUNGA KWA WASTANI WA UREFU WA WATANZAIA?
 
Kwenye vyoo vya bar siwaoni hao waislamu Safi wakikojoga kwa kuchuchumaa au wakiosha ninihii zao baada ya kukojoa ?
 
Ngoja niangalie huu mjadala
Mambo ni mengi[emoji1787]
 
Siyo "zakali" bali ni "dhakari" kuhusu mwanaume kuchuchumaa akienda haha ndogo sikubaliani na wewe labda ungesema kusogea karibu na chombo ili mkono usiruke Sana au kuweka maji kabla ya kukojoa.
 
Hayo hata kwa mwanamke pia, Si mwanamme tu.

Mijanajike na mijana dume mingi haielewi usafi huo, wao ni kukojoa kwa kusimama tu na hawajioshi kabisa kwa maji, si wanawake wala wanaume. Hawana ustaarabu huo. Wana ustaarabu wa paka kunya mavi kujipaka.
Mheshimiwa! Acha kumsingizia paka kuwa akinya mavi anajipaka, mimi nafuga paka na sijawai kumuona akijipaka mavi japo huwa namuona akinya.

Kuhusu Mwanaume kuchuchumaa wakati akienda haja ndogo inategemea amekulia mazingira na tamaduni zipi pia nahisi kuwa mnapigia chapuo (promote) mila za kiarabu.

Binafsi toka nimejitambua nakojoa wima na sijawai kupata hayo magonjwa wala kujichafua. Usafi ni jambo zuri ila haya mengine ni kama kachumbari kwenye pilau (hayana ulazima)
 
Kwamba mimi mwanaume na utu uzima wangu kabisa nakojoa halafu nimechuchumaa...! Cant be, mwanaume mzima? Zipu ya nini sasa kwenye suruali?
 
Watu wanapiga show na mademu kwa style ya dog while mwanamke HAJACHAMBA halafu wanapata magonjwa yao huko then wanasingizia eti kukojoa kwa kuchuchumaa, jinga kabisa. Sijawahi kufanya hivyo, sitakuja kufanya HIVYO and in my life time sijawahi kupata hayo magonjwa yanayo zungumzwa na huyu jamaa hapa. Watu wanatoa mawazo kwenye mambo fulani huko, hayajafanyia utafiti wowote, yamezungumzwa tu na mtu kashiba KANDE huko then mnatuletea hapa, nop, mimi sitakuja kufanya aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…