Okasante sanaa
Wimbo ganiNimesahau jina
Daaah nakumbuka sana hi; chorus zamanisanaNatafuta wimbo umeimbwa "Wandugu tuwe na huruma" Si sijui umeimbwa na nani
Dah naukubaligi huo wimboWimbo wa watoto
Kipindi cha watoto ITV nautafuta sana mimi tangu 2011 nikiwa nasoma sekondari siupati
Umeimbwa na Marquis du Zaire, Upo Youtube huu.Daaah nakumbuka sana hi; chorus zamanisana
Hata ile nyingine inaitwa NAFSI YA PILI sijawahi upata AiseeMwimbo wa HONGERA unitwa "MASHABIKI" haujawahi kupatikana tena popote[emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo wa etra bongo 3 mara 3 nauombaNyimbooo hiziii wadau
Km uliuupa wimbo Extra bongo nauombaNatafuta wimbo wa extra bongo 3 x 3
Mwenye wimbo wa Mr Nice unaitwa 'Friday night' ulikwepo kweny albam yake ya kwanza. Huu aliimba tofauti kabisa na style yke ya takeu
Wimbo wa watoto
Kipindi cha watoto ITV nautafuta sana mimi tangu 2011 nikiwa nasoma sekondari siupati
Kuna wimbo unaitwa "mtani jirani" yupo juma nature ndani nafikiri ni wachuja nafaka. Chorus [emoji444]tutoe adhabu gan juu ya hawa wanaoturoga, kwa kuwa wanaoturoga tunaamini ni shetan, mwanga anayetutupia majin ni jiran.[emoji444]
Joseline ft nature_huyu demu simwelewi
blackstarline
mkuu Mi pia hii Ngoma naitafutaga Sana Bila mafanikio, Ngoja tusubiri wadau labda twaweza upata!Natafuta wimbo wa dully sykes TAMIKA
Unatakiwa utumie Mp3 Comveter, kufanya kazi hiyo.Sitafuti wimbo bali natafuta namna ya kubadilisha "video" kwenda kwenye "audio" ili "ni-copy" kwenye flashi ktoka kwenye kompyuta.