Hizi nyimbo zina Mb nyingi, in such a way kwamba haziwezi kuwa uploaded kulingana na sera za JF. Ila zipo
 
Umetisha sana mkuu big up sana, Benson hauzimi_extended upo?

Smart guy
Hii sina tatizo kupata instrumentals za kibongo ni mziki sana, Ila kama una instrumental/beat yake nipatie nikuundie Extended song yake..
 
Hii sina tatizo kupata instrumentals za kibongo ni mziki sana, Ila kama una instrumental/beat yake nipatie nikuundie Extended song yake..
Usijali mkuu ninao nimeu extend mwenyewe vipi nikutumie na wewe au???

Smart guy
 
Aisee mi kwenye maktaba yangu nimekutana na huu tu kiongozi. Sasa sjui ndio wenyewe au laa...?
Ndiyo wenyewe, wimbo umeimbwa na Band ya Orchestra Safari Sound, wekitumia mtindo wa Ndekule.

Ila huu naona hausikiki vizuri, ila nisiache kuzitambua juhudi zako asante sana mkuu, bila shaka nawe ni mdau wa mziki huu, tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…