Karibia zote ninazo... Ila hiyo Eeh Mola ya Gorilla killers naitafuta sana, ukiipata nishtue mkuu!!Nazitafuta.
Mahabuba ya Chege ...
"nakupenda beib nakupenda kweli...
"
Lady Luu....
"akija kwangu atapata mahanjam hanjama atadata" natamani kuisikia sauti yake inaniita..
Tangazo by Bantu Mcz wakina Stiv Kabuye
Kaa Tayari ya Jose Mtambo
Kifo cha Nyani ya Mack Dee
Eeh Mola by Gorilla Killers ft Solid Ground Family,
Hamisi by Gorilla Killers,
Nataka niseme Mi by Neckbrackerz
wape vidonge vyao... suma g ft ommy g
zote ulizonazo za Waswahili Halisi... wazo la leo... pengo na haiwezekani ya sadat.
jiko limenuna by zigzag crue ft solo
baba jeni by solid
wanyamwezi hasili.. "mpenzi umenikimbia wakati naumwa, usiku wa manane ulingoja mi nakufa ili milele tusionane, sasa yamekukuta unaomba turudiane, sina muda mchafi mo ni bora niwe mjane.
hivyo ndivyo ilivyo by bjb
na amwisho lwa leo no Ngpma ya
Dataz ft Soggy Doggy... Sikutaki Tena
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa mkuu. vp imepatikana?Mkuu hiyo ngoma inaitwa Siku za hukumu za Mwisho, imeimbwa na Boys From The Army au BFA wakimshirikisha Inspector Haroun na sio Joint Mob. Nilikuwa naweka taarifa sawa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibia zote ninazo... Ila hiyo Eeh Mola ya Gorilla killers naitafuta sana, ukiipata nishtue mkuu!!
bila shaka ni AY ft Morice KiryaKuna wimbo mmoja kama sijakosea unaitwa binamu aliyeimba sio mwana fa nimemsahau jina lake
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kwenye chona mi napapenda pale anapoimba hivi "Lekenebuke x3 maiwa, kumagereza x 3maiwa[emoji849][emoji849][emoji849]deo mwanambilimbi chona
Thanks aisee ila hii ngoma kwani ni ya Drezzy Chief mkuu...?
Ndio ni ya kwake
Thanks mkuu, naupataje huu wimbo?hao ni wakina Oten enzi za kundi lao la Joint Mob. inaitwa Siku za Hukum Za Mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahis Library yangu ilinidanganya ngoja nami nirekebisheAsante sana kwa kutuweka sawa mkuu. Nnavyojua mimi sauti ya Drezzy ni HARD sasa ya huyu jamaa ipo kama jina lake Sweet Sunday.
Nafkiri binswedi sasa atakuwa ameelewa nani aliyeimba hiyo ngoma.
Shukran sana.
Pamoja sana mkuu, ndiyo yenyewe [emoji120][emoji120]Hii hapa
Cheki kama ndio wenyewe!Kuna wimbo mmoja kama sijakosea unaitwa binamu aliyeimba sio mwana fa nimemsahau jina lake
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app