Right Here - G Nako ft Chindo & BanksChorus inaimba ¶ ...hawatufundishi uwoga ..¶
verse .. mishe mishe ndo zilizofanya tusionane....
Ni hip hop ya Arusha mdada anaimba kiitikio, siku mbuki ni jombii kaimba au chindo .
Mwenye kuijua anijuze pls sana
Shukran Sana boss, barikiwaRight Here - G Nako ft Chindo & Banks
Shukran mkuu nimeupata sasa, nyimbo ilinikosha sana enzi za chuoRight Here - G Nako ft Chindo & Banks
Asante sana mkuuRight Here - G Nako ft Chindo & Banks
Huu hapaRight Here - G Nako ft Chindo & Banks
Huo wimbo unaitwa "Afrika liberté " kaimba franklin boukakaJamani natafuta ule wimbo unaopigwa redio Deutsche welle siku ya jumapili mchana kwenye makala ya Africa wiki hii!
Mtunzi/msanii aliyeuimba simfahamu, lakini kwa wafuatiliaji wa hiki kipindi huwa unapigwa mwanzoni na mwishoni mwa kipindi kama kibwagizo! Nakumbuka baadhi ya mashairi yake " oooooooh! Africa.... Oooooh Africa piavipambaaaa..….." Huko mbele siuwezi kuuimba vizuri hivyo Mwenye nao masaada please.
Jamani naombeni huu wimbo 😭😭nmehangaika sana kuutafuta nimeumiss sana huu wimbo
Jamani naombeni huu wimbo 😭😭nmehangaika sana kuutafuta nimeumiss sana huu wimbo
cheki hapo juuNatafuta wimbo wa hipo ya zamani kidogo. Maneno ya Chorus yake ni
"Nimepita kote kutafuta life, Nikaona Bora niende Bongo huenda ikawa shwari"
Naomba anaye faham hata aliyeimba anipe Jina au wimbo wote.
Pingu Na Deso ft Me Blue- JoanitaAaah Joanita,
Unajua mimi ni mbeba zege tu
Miezi sita
Nataabika ili niwe na wewe tu
Huu wimbo sijui unaitwaje nimeutafuta sana. Rapa flani ana rasta na kama sikosei Pasha anaimba hiyo chorus...
zote zipo subira tuuNazitafuta hizi audio
1. Philbert kabago dear
2. Norichiko nimemfukuza wangu mpenzi
3. Na wimbo mwingine unaimbwa "ni rafiki tu mbona manzi yupo hata yeye anamjua ni rafiki tu"
Duh, Asante sana Mungu akubariki.cheki hapo juu
Bado hii ngoma naitafuta.Hii ngoma naomba.
Skilizia na hii kwanza nakushushia hiyo unayoitaka Ipo mbalo kidogo kwa muda huuBado hii ngoma naitafuta.
Asante ila hapana siyo huo. Huo unaitwa Jonita na ndiyo title ya wimbo. Huu nnaotafuta sidhani kama unaitwa joanita ila chorus yake inaimbwa tu hivyoPingu Na Deso ft Me Blue- Joanita