Hii
Ndio hii
Ni hii
 

Attachments

Naombeni nyimbo hizo
1-Nakuja home
2-Unayempenda anapendwa na wengi
Zote za Yakuza Mob
 
Haya Link ya Group la Nyimbo za Zamani za Bongofleva.. TELEGRAM!!

 
nautafuta sana huu wimbo una maneno haya'' swing swing mziki ni bomba,,,,,ww rafiki acha kuzubaaa dada amshaaaaa hizo ni kachaaaaaa''
 
Habari wakuuu kwanza nawapenda Sana
Samahani kuna wimbo nautafuta Sana halafu Sasa nimesahau aliuimba Nani
Ila kuna sehemu wanaimba hv
"I lavyuu Maria debodeboooraa ailavyuu Maria debodeboooraa...Maria debodeboooraa Maria debodeboooraa....
.....
Mwenye anaeufahamu aniambie jamani plz
 
Kuna wimbo nautafuta, sijui unaitwaje ila ni wakitambo kidogo, na waimbaji ni mdada mmoja mwenye asili ya Asia, (china/Korea au Japan) akishirikiana na jamaa mmoja mwenye asili ya Africa ,naomba mwenye kujua jina la wimbo huo na waimbaji anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…