Kuna bongo flava moja kiitikio chake kina lyrics zifuatazo

"Nilijaribu kukupenda lakini kumbe ilikuwa changa la macho, kwanini umeamua kulisaliti langu penzi, sikujua"

Aneujua anitajie jina na msanii alieuimba
 
Kuna wimbo nautafuta, sijui unaitwaje ila ni wakitambo kidogo, na waimbaji ni mdada mmoja mwenye asili ya Asia, (china/Korea au Japan) akishirikiana na jamaa mmoja mwenye asili ya Africa ,naomba mwenye kujua jina la wimbo huo na waimbaji anisaidie
Tuma voicenote.. japo melody ya wimbo
 
ok naomba unijuze ya sophia hata moja.
 
Ni kweli na ndio leo nimelijua hilo... Hawa wahindi walishaniingiza chaka kwa kuchukua nyimbo za wasauzi na kuzipa jina la wanamuziki wa Reggae Provebial nilihangaika sana kuzipata.
 
ok. hautalala bila kuusikia.. nitakuongeza na nyimbo yake nyingine yakuitwa Chumbani
Shukrani sana mkuu. Alafu kuna wimbo niliusikia sana kati ya 2010 na 2011, nakumbuka kiitikio
"Nitalia, nitaposikia
umeunganishwa na jina langu".
Nahisi unaitwa Makange, na ameimba mdada flani hivi hata jina silijui.
 
Shukraan jamaa! Kuna na lile lingine linaitwa UKWAJU WA KITAMBO
 
Habari wandugu,natafuta ngoma moja kali sana ya one the incredible-mlimbwende rmx,ni ya muda kidogo,nitashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…