Kuna nyimbo moja bongo flava wanaimba hiv.. "chagua mmoja mimi ama ye, uwe nae, kama unampend si umwambie ili na yeye ajue e e"Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Nataka audioNenda youtube
Unaconvert kwenda audioNataka audio
Mimi nautafuta 'KARISA', wimbo wa Kicongo(Old is gold) ulitoka miaka ya 1979.Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Sijaupata ndugu kama wewe umeupata nitumieNautafuta sana wimbo huu kama umeupata nitumie ndugu
Todii wa oliver ntukudzi. Sio south Africa jamaa anatoka Zimbabwe. Ni marehemu kwa sasa. Nenda YouTubeKuna wimbo Fulani wa zamani sijui kaimba nani yule wa Africa kusini ila kiitikio wanaimba hv
Eeeh Eeeh Tabiiii (Yeah)
Oooh Ooh tabiiii Sarawilu
Anayeufahamu anijuze Kuna mwanamke ndo anaitikia
Kuna nyimbo moja bongo flava wanaimba hiv.. "chagua mmoja mimi ama ye, uwe nae, kama unampend si umwambie ili na yeye ajue e e"
Ni wimbo flan hv dem anachanganya wanaume wawili, nd jamaa anaimba kama anampenda amuambie na kama anampend yule mwengin amuambie t asiwachanganye, ni wimbo wa miaka ya kuanzia 2005 mpk 2010 (sijui umetok mwaka gan hasa lkn ni within hiyo 10 years)
Nenda YouTube search MECHI KALI..... Haina video ila audio IPO YouTube.Wakuu vipi, kuna wimbo nimeusahau jina pamoja na muimbaji, ila ni hip hop inaelezea magonjwa kwenye mtindo wa mechi
mfano: maralia anaenda bemch, homa inangia
anaeufahamu naomba anisaidie, asanteni 🙏
Asante sana mkuu nimepata YouTube ila Kuna mwingne wa Sauzi jamaa kaimba na Wanawake wamevaa makofia Yale ya kizulu (Kama alilokua anavaa mama joy wa Sauzi kwenye Afcon)Todii wa oliver ntukudzi. Sio south Africa jamaa anatoka Zimbabwe. Ni marehemu kwa sasa. Nenda YouTube
Asante sana mkuu, nimeupata, be blessedNenda YouTube search MECHI KALI..... Haina video ila audio IPO YouTube.