Southside ii
New Member
- Jul 2, 2024
- 2
- 1
Mimi napendanga ule wimbo wa Slim Ali unaoitwa You can do it, juu aliuimba kwa kimombo.Marselina nipo na gari hapo nje
Marselina nipo na shamba huko kwetuu,
Marselina nipo na suti nyingi sana
Kesho naenda pariiiiiiiis eeeh ekare
Kisumu Dala karibu kwetu cc secretarybird
Master,pole sana nimekua nikiutafuta sana pia ulifanikiwa kuupata?Nisadieni ngoma moja ameshilikishwa steve kabuye inaitwa TANGAZO nahisi kama na bandago yumo nyingine jina nimesahau na muimbaji nimemsahau kiitikio kinasema "wacha part wee ngoma lipigwe watu wacheze wacha part iendelee"
Mbona upo youtube jamaniMwwnye pesa sii mwenzako cc Seran na secretarybird ndege mdinya
Nitumie huo wimbo mkuu.Mwwnye pesa sii mwenzako cc Seran na secretarybird ndege mdinya
Waambie wana Jf duble duble ilivyo kukonga nyoyo kunakoNitumie huo wimbo mkuu.
Wanajua vile ilivyotamu, sina haja ya kuwaelezea.Waambie wana Jf duble duble ilivyo kukonga nyoyo kunako